Takwimu: Baleke vs Musonda

Takwimu: Baleke vs Musonda

FtNe-mUX0AMxgWX.jpg
 
Namba za JEAN BALEKE zinatisha amefunga mfululizo kwenye mechi tano (5) za mashindano yote [Ligi Kuu, Kombe la Shirikisho la TFF na Ligi ya Mabingwa Afrika].

Katika hizo mechi tano (5) amefunga jumla ya magoli 11 ikiwa ni hat-trick mbili, magoli mawili (brace) kwenye mechi moja mara mbili na goli moja kwenye mchezo mmoja!

️ vs Ihefu [NBC PL]
️ vs Ihefu SC [ASFC]
️ vs Raja AC [CAF CL]
️ vs Horoya AC [CAF CL]
️ vs Mtibwa Sigar [NBC PL]
 
Kwahiyo kwenye Derby tulikosa cha kusema kuhusu hawa wawili.

Siku hiyo Musonda hakutia fora kabisa.

Baleke was the best pale timu ikiwa haina mpira achilia mbali zile nafasi alizokosa.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom