TAKUKURU Yamuwekea Mitego Mgombea Ubunge CCM Arusha Mjini

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
8,652
Reaction score
2,642
Wanaukumbi

Kumekuwepo na rushwa za uchaguzi za aina mpya kabisa.

Wagombea mbalimbali wa chadema ngazi ya kata wamekuwa wakilia rafu za Mgombea ubunge wa ccm Philemon Mollel ambaye toka kampeni zianze amekuwa anaandaliwa vikundi vya wanawake na kufika kuwaomba kura na kuwaahidi milioni 5 kabla ya siku ya kura.

Tayari malalamiko hayo yametua tasisi ya kupambana na rushwa huku ikiratibiwa mbinu za kupambana na rushwa hiyo.

Taarifa toka humo zinawataka wananchi kutoa ushirikiano pindi waonapo vikundi vyenye nia ya kurubuniwa kwa rushwa ya aina hiyo wakati wa uchaguzi ili kuweka sawa fursa kwa wagombea wote,kwani ahadi kwa wagombea na utekelezaji papo hapo kwa kipindi hiki ni Rushwa.
 
Mhhh mbona sijaelewa?, ni mgombea wa ccm au chadema?
 
kwa arusha hata akiahidi 1b hawez kumshinda lema.

Ataiweza tena vizuri sana, mollel ni kipenzi cha Lowassa na amesema wazi Mona Ban lazima apite. Ndiye chaguo lake Arusha Kama lilivyo chaguo lake la nzega Ndugu Bashe.
 
acha kuota ndoto za mchana. Hivi unaijua Arusha vizuri?Monaban hatashinda hata kidogo A town, na hilo ata yy analifahamu vizuri ndio maana hata kampeni yake aliifungulia soko kuu kauwanja kadogo sana sababu alijua hana watu wa kujaza. Kwa sasa r chuga tunafikiria jinsi ya kuongeza madiwani wengi wa CDM na wala hatumfikirii hata kidogo Monaban sababu ni mgombea dhaifu sana kumlinganisha na kamanda Lema.
 
Monaban atashinda asubuhi kweupe. Arusha haiwezi kuongozwa na tapeli tena. Aliwatapeli wana arusha 5 years. Inatosha.

endeleza ndoto. A town akija kwa rushwa watamchuna vizuri sana. Sisi ndio waasisi wa KULA ccm KURA CDM. kamuulize Batilda moto wa Arusha. Hakuna wa kumuondoa Lema kwa sasa.
 
Monaban atashinda asubuhi kweupe. Arusha haiwezi kuongozwa na tapeli tena. Aliwatapeli wana arusha 5 years. Inatosha.

Kwayu tulia unahangaika sana! Mara uanzishe thread ya kiduwanzi ambayo haina mashiko kumponda lema mara uibukie huku ukitumia lugha ya stendi kuhusu lema, fanya siasa safi utaeleweka tu.
 
Monaban atashinda asubuhi kweupe. Arusha haiwezi kuongozwa na tapeli tena. Aliwatapeli wana arusha 5 years. Inatosha.

Una moyo mgumu kweli, labda kama ni Arusha nyingine iliyopo Australia au kwingineko duniani.
 
naona vita ya waarusha na wachagga , kila. mtu anavutia upande wake
 
Back
Top Bottom