OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,237
- 103,894
Porojo tu hizo, huyu ni MTUME wa YESU wa Tanzania kama alivyo MTUME Lugola!
MITUME WA YESU WA TANZANIA HAWAGUSWIZuga tu hii!
Porojo tu hizo, huyu ni MTUME wa YESU wa Tanzania kama alivyo MTUME Lugola!
Kampiga ndefu halafu mambo yenyewe ndio haya
Seleli walimfanyia fitna sema tu jamaa ana utu sana, akakubali yeishe...Kigwangalla ananikumbusha mwaka 2010 alipopitishwa na chama chake cha CCM kugombea ubunge kwenye hilo Jimbo la Nzega huku akiwa ameshika nafasi ya 3! nyuma ya Husein Bashe (Msomali) na Mbunge aliyekuwa akitetea kiti chake (Lucas Seleli)