Takukuru nini tatizo kila siku mnashindwa?

Takukuru nini tatizo kila siku mnashindwa?

Mnawaonea wivu Tiss na Takukuru c muombe ajira nanyi muajiriwe wivu tu tena wa kike wakijinga!

Mara nyingi ajira katika Taasisi hizi, na hasa TISS hutolewa kwa kujuana. Kama baba, mjomba wako au ndugu yako si mwajiriwa katika taasisi hiyo sahau kabisa kupata ajira. Zipo fomu ambazo utatakiwa kujaza, zingine uwape watu wanaokufahamu wazijaze wakitoa mapendekezo yao kuhusu wewe kuajiriwa katika hiyo taasisi. Mwisho wa siku vyote hivyo hupelekwa huko TISS ili kuwapata hao wanaofaa kuajiriwa. Haishangazi basi kuona ajira inakuwa ni kwa familia na koo fulani fulani. Hali kama hii hujitokeza pia katika majeshi yetu! Motokeo yake ndiyo hayo tunayoyaona.
 
TZ hakuna usalama wa taifa, kuna (1) usalama wa CCM, wanailinda CCM kwa nguvu zote. Ukienda kwenye vikao vya KAMATI YA ULINZI NA USALAMA MKOA AU WILAYA, vinaitwa KUU, vya taifa sijawahi hudhuria, utagundua kazi ya hawa watu. MIKAKATI na taarifa zao ni za kulinda CCM, siyo taifa hata kidogo, na, yule anayefanya kazi hiyo vizuri anapelekwa UBALOZI, anateuliwa UWAZIRI kama MEMBE, RC au DC, au anashikishwa (attached) kwenye vitengo muhimu kama TRA, BOT, BANDARINI ambako wanaiba kama nini; na (2) kutokana na (1) hapo juu, ndiyo maana wafanyabiashara wezi wako CCM kwa kauli ya MARECELA ili wafanukiniwe, maana ukiiba bilioni 50 alafu ukatoa mchango kwa CCM milioni 100 HAPO HAKUNA TATIZO, hakuna CHA TAKUKURU wala TISS watakaokusumbua. ILA UKIIBA na usiwagawie CCM, UMELIWA.

Mzalendo hapo umejitoa mhanga sasa hawa wa usalama wa taifa kazi yao ni nini maana nyara za serikali zinaibiwa mchana kweupe wao ishu zao ni zipi ina maana kwetu hatuna vitengo vya kijasusi kama kwa wenzetu? tujuzeni wajamen
 
vipi jamani hivi vitengo vyetu vya takukuru na usalama wataifa kushindwa kunusa harufu ya uhalifu ktk wizara zetu? kazi zao mbona ni kama hawapo na umuhimu wao haupo tena. mbona mkaguzi wa mahesabu amedhubutu na ameweza hawa wanashindwa nini au wajiuzulu pamoja na mawaziri? wanatuboa hawa

Sina la kuchangia zaidi ya hili: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/254375-kama-cag-anaweza-kwanini-takukuru-na-dpp-washindwe-hawa-waondolewe-mara-moja.html In Short, TAKUKURU (Hossea), DPP, na DCI ni tatizo!! Hizi ni kansa ambazo kamwe haziwezi kutibika kwa mionzi ya X-Ray wala
Z
rays, bali ni kukata kiungo kizima!! Hazitakiwi kuwapo ofisni japo kwa saa moja ya ziada, seuze siku! Lau kama leo hii ningeambiwa nichague moja, kati ya kuvunja baraza la mawaziri, au kuwafyekelea mbali madhalimu hawa, basi nisingesita hata chembe ku-opt kuwafyeka madhalimu Hossea, DPP na Manumba!! Hawa ndio wanaowatia kibri mafisadi wengine kwavile wanafahamu hawawezi kuchukuliwa hatua na madhalimu wenzao! Hawa watu ni dhalimu, mafashist na manduli kuliko Idd Amini! Ni wauaji wa taratibu Madhara ya kansa za kujikomba wanazoumwa ni msiba mkubwa kwa taifa hili! Upuuzi kwamba nafasi zao hazina kinga kama ilivyo kwa CAG ni STUPID justification......hatuhitaaji mijitu inayofanya kazi zenye maslahi kwa taifa lakini inakiuka na kushindwa kuchukua hatua kwa ajili ya kuwapendeza waliowateua!! Mijitu kama hii hata ingepewa kinga na UN, still wangekuwa madhalimu tu kwavile wanajua bado wanalazimika kujipendekeza kwa mteuzi wao kuliko ilikolalia kinga yao.
 
Back
Top Bottom