Takukuru ni Sadaka?

Mlangaja

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
579
218
Katika vitabu vitakatifu, kitu ambacho hutakatifuza watu, yaani husafisha najisi huitwa sadaka. Kwa miaka michache takukuru imekuwa ikafanya kazi ya kutakasa watu. Yaani mtu anakuwa na tuhuma fulani takukuru inamtakasa. Kiongizi amefanya jambo fulani takukuru inamtakasa.
Jamini naomba mnisaidie, je takukuru ni chombo cha kiserikali cha kutakasa viongozi? Je takukuru iliwekwa kwa madhumuni ya kuwa sadaka ya kutakasa watu? Naombeni msaada.
 
katika vitabu vitakatifu, kitu ambacho hutakatifuza watu, yaani husafisha najisi huitwa sadaka. Kwa miaka michache takukuru imekuwa ikafanya kazi ya kutakasa watu. Yaani mtu anakuwa na tuhuma fulani takukuru inamtakasa. Kiongizi amefanya jambo fulani takukuru inamtakasa.
Jamini naomba mnisaidie, je takukuru ni chombo cha kiserikali cha kutakasa viongozi? Je takukuru iliwekwa kwa madhumuni ya kuwa sadaka ya kutakasa watu? Naombeni msaada.

tatizo nichombo kisicho huru
 
Ni zaidi ya Sadaka kwani haijawai kufanya kitu hata hivyo kama Liyumba asingekuwa na ugomvi na watu fulani kuhusu mabo ya chumbani naye wangemsafisha lakini aligusa pabaya na jeuri ilimponza hivyo system ilimtenga lakini wamemsafisha kidogo maana miaka waliompa hailingani na makosa tisa walomtajia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom