Shoctopus
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 3,435
- 1,995
Muda mfupi uliopita nimesikia ktk WAPO radio kigogo wa TAKUKURU anagomba kuhusu wafanyabiashara wanaotoa risiti feki au kutotoa risiti kabisa nk!
Tumefika hapo katika vita ya rushwa jamani?
Ununuzi wa madiwani na wabunge sio rushwa? Kama siyo TAKUKURU ya nini?
Yaani kazi ya ofisa biashara inafamywa na mkurugenzi wa TAKUKURU!
Itafika mahali hata kibiriti udai risiti, shida shida kweli!
Hawa na wenzao TRA wanalipwa mishahara ya mamilioni halafu kazi yao kuvizia wananchi wa kawaida na kuwaonea tu! Mchawi wa Nchi hii ni wanaonunua kura. Tusidanganyane.