Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Kaimu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Katavi, Daud Lyamongo akitoa taarifa ya ufuatiliaji wa utelelezaji wa Miradi ya Maendelo ya Robo Mwaka, Mei 27, 2025 amesema taasisi hiyo ilikagua miradi miwili ya elimu yenye thamani ya Sh Bilioni 4.3 na kubaini kasoro.
Lyamongo amefafanua baada TAKUKURU baada ya kufanya ukaguzi wa miradi hiyo walibaini Mzabuni alilipwa Sh 220,023,980 na Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda kabla ya mabati kufika eneo la ujenzi kinyume na utaratibu.