TAKUKURU kamateni trafiki wala rushwa

TAKUKURU kamateni trafiki wala rushwa

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,756
1. Kwanini TAKUKURU wanawachekea Trafiki wala rushwa barabarani? Mbona kuwakamata ni kazi rahisi sana?

2. Ambush ya mwezi mmoja (kuwakamata, kuwaonyesha hadharani na kuwapeleka mahakamani) ingebadilisha upepo kabisa.

3. Trafiki mna laana
 
1. Kwanini TAKUKURU wanawachekea Trafiki wala rushwa barabarani? Mbona kuwakamata ni kazi rahisi sana?

2. Ambush ya mwezi mmoja (kuwakamata, kuwaonyesha hadharani na kuwapeleka mahakamani) ingebadilisha upepo kabisa
Tangu lini takukuru wakafanya kazi bila kuagizwa na DC, RC, waziri, waziri mkuu au rais. Takukutu wao mpaka waagizwe bila hivyo hawajui la kufanya.
 
Kuna halmashauri niliwahi kuona jamaa wa idara ya afya kapiga hela ndefu kichizi, TAKUKURU wakaanza kunusanusa baada ya kupelekwa taarifa, jamaa akaona hapa anapotezwa. Akaishia kuwahi kutongoza na kutangaza ndoa ya fastet kwa mmoja wa maofisa wa TAKUKURU
 
1. Kwanini TAKUKURU wanawachekea Trafiki wala rushwa barabarani? Mbona kuwakamata ni kazi rahisi sana?

2. Ambush ya mwezi mmoja (kuwakamata, kuwaonyesha hadharani na kuwapeleka mahakamani) ingebadilisha upepo kabisa
njoo na ushahidi ofisi yoyote ya takukuru iliyopo karibu nawe na tuone namna tunaweza kuchukua hatua muhimu za kukudhibiti uhalifu huo 🐒
 
Mama yao si alisema ni hela ya KIWI, wewe unaita Rushwa.
 
1. Kwanini TAKUKURU wanawachekea Trafiki wala rushwa barabarani? Mbona kuwakamata ni kazi rahisi sana?

2. Ambush ya mwezi mmoja (kuwakamata, kuwaonyesha hadharani na kuwapeleka mahakamani) ingebadilisha upepo kabisa
Kuanzia sasa wananchi wenye magari na bajaji mnaowapa trafiki pesa kuanzia 1000, 200, 5,000, 10,000 nk vaeni kamera ziwanase kisha tafuteni IT mwenye akili ya kitaaluma kuzirusha hewani bila kujulikana chanzo
1.Trafiki -uozo mwingi
2. TRA---uozo mwingi
3.Polisi wapelelezi-uozo mwingi
 
1. Kwanini TAKUKURU wanawachekea Trafiki wala rushwa barabarani? Mbona kuwakamata ni kazi rahisi sana?

2. Ambush ya mwezi mmoja (kuwakamata, kuwaonyesha hadharani na kuwapeleka mahakamani) ingebadilisha upepo kabisa
Unataka magari yetu mabovu yasitembee road
 
1. Kwanini TAKUKURU wanawachekea Trafiki wala rushwa barabarani? Mbona kuwakamata ni kazi rahisi sana?

2. Ambush ya mwezi mmoja (kuwakamata, kuwaonyesha hadharani na kuwapeleka mahakamani) ingebadilisha upepo kabisa

We ni Mtanzania?
 
Tatizo ni kubwa zaidi la unavyowaza..., Ulishajiuliza vipi kama hata hao Takukuru ni wala Mlungula ?

Iwapo mpaka kina ADANI wanatoa mlungula na wale tunaodhani wanalitakia mema taifa wamekuwa Madalali na wanakula Milungula unajuaje kama hao Traffic sio mradi wa watu lukuki
 
Tangu lini takukuru wakafanya kazi bila kuagizwa na DC, RC, waziri, waziri mkuu au rais. Takukutu wao mpaka waagizwe bila hivyo hawajui la kufanya.
Nliambiwa na mmoja wa mapolice cku fulan kuwa takukuru Hana mamlaka ya kumkamata police akiwa kazn na haiwez kutokea ndio maana hatujawah kuskia kes y traffic kukamatwa na takukuru,
 
Nani anayewakamata hao TAKUKURU pindi wao walapo RUSHWA?
Hao TAKUKURU wanapiga Dana Dana tu. Kwa kifupi ni tabaka la juu la kupatia rushwa.
Rushwa mbona ziko nje nje kama kweli wanataka kufuatilia kimaana ni miezi tu wote wapokeaji watapata hofu ya kuomba na kuchukua rushwa.
 
Back
Top Bottom