TAKUKURU: Jeshi la Polisi ni kinara wa Rushwa nchini

Yaani kwenye vituo vidogo vya polisi hivi mambo ndiyo hovyo kabisa.
Kwanza polisi wanakubali kutumika kama tishu ya chooni, mtu tu kalala kaamka anaenda kumshitaki mtu alafu anampa pesa polisi anamwambia asitoke huyu alale ndani.

Yaani jeshi letu la polisi ni jeshi la hovyo sana, kuna watu wamefeli shule huko, wameshindikana kwenye familia zao wanatupwa tu depo ili wakajifunze uaskari, nchi inajikuta inazalisha askari wa hovyo sana.
 
Mpaka tuone wakiwajibishwa kwa kufukuzwa na kushtakiwa mara moja, tatizo halitaisha kabisa
Ni ngumu sana ndugu hii huishia kwenye takwimu na makalbrasha next time wanakuja na takwimu nyingine ya kuwa rushwa imepungua sana ktk taasisi hizo kwa asilimia hii mpaka hii.
 
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) 2022/2023, imezitaja sekta zinazoongoza kwa vitendo vya rushwa nchini, huku Jeshi la Polisi likishika nafasi ya kwanza kwa asilimia 45.6 kati ya nne vinara.

Kwa takwimu hizi uadilifu wa Jeshi la polisi uko wapi hadi liaminiwe kulinda wananchi na mali zao.

Maadili ya Jeshi la polisi yako wapi hadi liaminiwe kufanya upelelezi wa ubakaji ili hali maofisa wake wanatuhumiwa kwa vitendo vya ubakaji,

Jeshi la polisi liaminiwe vipi na wananchi wakati linatuhumiwa kwa vitendo vya utekaji.

Ni dhahiri kwa vitendo hivi Jeshi la polisi linajipora lenyewe legitimacy ya kuwa mtunza amani nchini, aidha ni kutokana na elimu au mafunzo wanayopata au ni utovu wa nidhamu wa askari mmoja mmoja.

IGP, Mkurugenzi wa Mafunzo hamuoni aibu kuongoza taasisi ya aina hii inayolalamikiwa hadi na taasisi zingine za umma.

Nini kifanyike.
Ukiwa na mazoea ya kwenda vituo vya polisi mara kwa mara na kujenga nao mazoea aisee ni Kero kubwa sana.. Yaani wakikuona tu utadhani wameona mgodi wa pesa na siku ukiwa huna watanuna hao
In fact sio tu kuongoza kwa rushwa bali na kuwa ombaomba
 
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) 2022/2023, imezitaja sekta zinazoongoza kwa vitendo vya rushwa nchini, huku Jeshi la Polisi likishika nafasi ya kwanza kwa asilimia 45.6 kati ya nne vinara.

Kwa takwimu hizi uadilifu wa Jeshi la polisi uko wapi hadi liaminiwe kulinda wananchi na mali zao.

Maadili ya Jeshi la polisi yako wapi hadi liaminiwe kufanya upelelezi wa ubakaji ili hali maofisa wake wanatuhumiwa kwa vitendo vya ubakaji,
Kwahiyo PCCB wameacha kazi yao ya msingi wamehamia kufanya utafiti huku wala rushwa wakitamalaki
 
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) 2022/2023, imezitaja sekta zinazoongoza kwa vitendo vya rushwa nchini, huku Jeshi la Polisi likishika nafasi ya kwanza kwa asilimia 45.6 kati ya nne vinara.

Kwa takwimu hizi uadilifu wa Jeshi la polisi uko wapi hadi liaminiwe kulinda wananchi na mali zao.

Maadili ya Jeshi la polisi yako wapi hadi liaminiwe kufanya upelelezi wa ubakaji ili hali maofisa wake wanatuhumiwa kwa vitendo vya ubakaji,

Jeshi la polisi liaminiwe vipi na wananchi wakati linatuhumiwa kwa vitendo vya utekaji.

Ni dhahiri kwa vitendo hivi Jeshi la polisi linajipora lenyewe legitimacy ya kuwa mtunza amani nchini, aidha ni kutokana na elimu au mafunzo wanayopata au ni utovu wa nidhamu wa askari mmoja mmoja.

IGP, Mkurugenzi wa Mafunzo hamuoni aibu kuongoza taasisi ya aina hii inayolalamikiwa hadi na taasisi zingine za umma.

Nini kifanyike.
Tafsiri yake ni kwamba IGP aliyepo na Boss wa PCCB hawatoshi kwenye nafasi zao
 
Jeshi la police lazima wataongoza kwa sababu wamepewa mamlaka makubwa sana kisheria na mbaya zaidi wananchi wengi hawajui haki zao hivyo polisi kuwaonea na kutaka rushwa wawaachie ndio imekua chaka lao.

Polisi wa bongo ukohoji haki zako anakwambia unajifanya unajua sana kuliko sisi, sio? Mbaya zaidi mfumo wa polisi wa kulindana umeota mizizi mirefu sana. Hadi polisi wawajibishane ni kazi kubwa sana.
Haki zako hutakiwi kumuhoji mtu mwingine unatakiwa uzijue mwenyewe
 
FB_IMG_16987434384494840.jpg
 
Mwanangu Tlaatlaah atabisha

ova
bila shaka yoyote ndani ya Chadema panaweza kua na rushwa iliyokomaa na kushamiri pengine kuliko taasisi nyingine ya umma, kulingana na report ya makamu mwenyekiti taifa wa chama aliyoitoa kwa masikitiko sana kwa zaidi ya mara moja....

ni muhimu zaidi TAKUKURU kuzingatia malalamiko ya kiongozi huyo muandamizi wa Chadema ambae pia ni muoga kichizi dhidi ya kuwambia ukweli na kuwachukulia hatu walarushwa anao wabwekea bwekea ndani ya chama chake 🐒
 
Mada inahusu polisi wewe unawaingiza chadema

Ova
 
Back
Top Bottom