mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,730
Sina shaka kwa sasa na utendaji wa Takukuru,kasi waliyonayo inaanza kutia moyo...ili msionekane double standard kwa kuwa mna watumishi kila wilaya wapimeni kwa kuangalia utendaji wao katika hili,waoneshe wabunge wote waliongia bungeni kwa Rushwa au kukiuka maadili na mchukuwe hatua,hii kuwakamata tuu sioni kama mna kipimo cha haraka cha watendaji wenu wilayani na mikoani...anzeni leo na msimuonee mtu haya huruma wala aibu na msimuonee gere,...hapo mtaukosha moyo wangu na watanzania wengi