Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,273
- 28,431
Msiwalazimishe kutumia ushahidi wa kwenye matukio, wapeni ushahidi halisi.
Mkuu upo ulaya au hapahapa TZ. huku hakuna hakiLengo kuu la Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Namba 11 ya 2007 limeainishwa katika kifungu cha 4 cha Sheria hii ikiwa ni kuhakikisha ustawi wa utawala bora na kuondoa rushwa nchini. Ili kuhakikisha lengo hili linatimia, sheria hii inaweka mazingira bora kisheria, kiutawala, na kiutekelezaji yenye mwelekeo wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini.
Kama kweli mnafanya kazi kwa mujibu wa Sheria yenu ina maana jukumu lenu mojawapo ni kuzuia rushwa.
Mumetupa namba za kuwapigia lakini mimi nawaonyesha Mtanzania mmoja kwa jina la Tulia Ackson amekuwa anafanya vitendo vinavyoashiria uwapo wa rushwa katika Jiji la Mbeya.
Mshahara wa Naibu Spika unafahamika sidhani kama unazidi Tsh 15 Milioni. Lakini huyu Tulia Ackson amekuwa akigagawa fedha taslimu kwa vikundi vya akina mama na vijana.
Nawaita TAKUKURU muende mumhoji yafuatayo,
1. Je anapata wapi hizo fedha anazogawa kwa hivyo vikundi kama fedha takwimu au bidhaa?
2. Chunguzeni akaunti yake iliyoko kwa jina la Tulia Trust, ni nani wanaingiza fedha humo?
3. Je hiyo Tulia Trust inawezekana ikawa inatakatisha fedha (money loundering) kwa kisingizo cha kutoa msaada?
4. Je hao wafadhili wa hizo fedha wanategemea kulipwa nini na Tulia Ackson?
Nimeleta hapa kwa kuwa Tulia Ackson mwenyewe anajitapa kwa kudanganya wazee wa Jiji na viongozi wa CCM Mkoa kuwa ametumwa na Magufuli kuchukua Jimbo la Mbeya ili awe SPIKA wa Bunge baada ya uchaguzi wa 2020.
Unajuaje kuwa anawadanganya Wazee wa Mbeya ..... labda ni kweli katumwa!!Nimeleta hapa kwa kuwa Tulia Ackson mwenyewe anajitapa kwa kudanganya wazee wa Jiji na viongozi wa CCM Mkoa kuwa ametumwa na Magufuli kuchukua Jimbo la Mbeya ili awe SPIKA wa Bunge baada ya uchaguzi wa 2020.
PCCB kwisha manenol unatarajia taasisi ya Rushwa inayo ongozwa na Polisi ipate ufanisi gani? Huko wamebakia kusikiliza amri za wanasiasa!Lengo kuu la Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Namba 11 ya 2007 limeainishwa katika kifungu cha 4 cha Sheria hii ikiwa ni kuhakikisha ustawi wa utawala bora na kuondoa rushwa nchini. Ili kuhakikisha lengo hili linatimia, sheria hii inaweka mazingira bora kisheria, kiutawala, na kiutekelezaji yenye mwelekeo wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini.
Kama kweli mnafanya kazi kwa mujibu wa Sheria yenu ina maana jukumu lenu mojawapo ni kuzuia rushwa.
Mumetupa namba za kuwapigia lakini mimi nawaonyesha Mtanzania mmoja kwa jina la Tulia Ackson amekuwa anafanya vitendo vinavyoashiria uwapo wa rushwa katika Jiji la Mbeya.
Mshahara wa Naibu Spika unafahamika sidhani kama unazidi Tsh 15 Milioni. Lakini huyu Tulia Ackson amekuwa akigagawa fedha taslimu kwa vikundi vya akina mama na vijana.
Nawaita TAKUKURU muende mumhoji yafuatayo,
1. Je anapata wapi hizo fedha anazogawa kwa hivyo vikundi kama fedha takwimu au bidhaa?
2. Chunguzeni akaunti yake iliyoko kwa jina la Tulia Trust, ni nani wanaingiza fedha humo?
3. Je hiyo Tulia Trust inawezekana ikawa inatakatisha fedha (money loundering) kwa kisingizo cha kutoa msaada?
4. Je hao wafadhili wa hizo fedha wanategemea kulipwa nini na Tulia Ackson?
Nimeleta hapa kwa kuwa Tulia Ackson mwenyewe anajitapa kwa kudanganya wazee wa Jiji na viongozi wa CCM Mkoa kuwa ametumwa na Magufuli kuchukua Jimbo la Mbeya ili awe SPIKA wa Bunge baada ya uchaguzi wa 2020.
Polisi wametoka baada ya Valentino Mlowola kuwa Balozi na Diwani Athman kuwa DG-IS. Sasa kuna Brigadier General wa TPDFPCCB kwisha manenol unatarajia taasisi ya Rushwa inayo ongozwa na Polisi ipate ufanisi gani? Huko wamebakia kusikiliza amri za wanasiasa!
Katika taasisi nisiyoiamini ni takukuru, wao ndo wanaongoza kwa rushwa halafu wachunguze kitu gani?Lengo kuu la Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Namba 11 ya 2007 limeainishwa katika kifungu cha 4 cha Sheria hii ikiwa ni kuhakikisha ustawi wa utawala bora na kuondoa rushwa nchini. Ili kuhakikisha lengo hili linatimia, sheria hii inaweka mazingira bora kisheria, kiutawala, na kiutekelezaji yenye mwelekeo wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini.
Kama kweli mnafanya kazi kwa mujibu wa Sheria yenu ina maana jukumu lenu mojawapo ni kuzuia rushwa.
Mumetupa namba za kuwapigia lakini mimi nawaonyesha Mtanzania mmoja kwa jina la Tulia Ackson amekuwa anafanya vitendo vinavyoashiria uwapo wa rushwa katika Jiji la Mbeya.
Mshahara wa Naibu Spika unafahamika sidhani kama unazidi Tsh 15 Milioni. Lakini huyu Tulia Ackson amekuwa akigagawa fedha taslimu kwa vikundi vya akina mama na vijana.
Nawaita TAKUKURU muende mumhoji yafuatayo,
1. Je anapata wapi hizo fedha anazogawa kwa hivyo vikundi kama fedha takwimu au bidhaa?
2. Chunguzeni akaunti yake iliyoko kwa jina la Tulia Trust, ni nani wanaingiza fedha humo?
3. Je hiyo Tulia Trust inawezekana ikawa inatakatisha fedha (money loundering) kwa kisingizo cha kutoa msaada?
4. Je hao wafadhili wa hizo fedha wanategemea kulipwa nini na Tulia Ackson?
Nimeleta hapa kwa kuwa Tulia Ackson mwenyewe anajitapa kwa kudanganya wazee wa Jiji na viongozi wa CCM Mkoa kuwa ametumwa na Magufuli kuchukua Jimbo la Mbeya ili awe SPIKA wa Bunge baada ya uchaguzi wa 2020.
Hili nalo neno....waweja sanaUKIONA SWALA ANATAMBA NA KUJIACHIA SANA MBUGANI, UJUE NI HAWARA WA SIMBA
Swadaktaaaa, hilo jina ndo linalowafaaaaKwa hiyo TAKUKURU kirefu chake ni Taasisi ya Kuomba na Kupokea Rushwa.
Kilimo cha Samaki majiniLengo kuu la Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Namba 11 ya 2007 limeainishwa katika kifungu cha 4 cha Sheria hii ikiwa ni kuhakikisha ustawi wa utawala bora na kuondoa rushwa nchini. Ili kuhakikisha lengo hili linatimia, sheria hii inaweka mazingira bora kisheria, kiutawala, na kiutekelezaji yenye mwelekeo wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini.
Kama kweli mnafanya kazi kwa mujibu wa Sheria yenu ina maana jukumu lenu mojawapo ni kuzuia rushwa.
Mumetupa namba za kuwapigia lakini mimi nawaonyesha Mtanzania mmoja kwa jina la Tulia Ackson amekuwa anafanya vitendo vinavyoashiria uwapo wa rushwa katika Jiji la Mbeya.
Mshahara wa Naibu Spika unafahamika sidhani kama unazidi Tsh 15 Milioni. Lakini huyu Tulia Ackson amekuwa akigagawa fedha taslimu kwa vikundi vya akina mama na vijana.
Nawaita TAKUKURU muende mumhoji yafuatayo,
1. Je anapata wapi hizo fedha anazogawa kwa hivyo vikundi kama fedha takwimu au bidhaa?
2. Chunguzeni akaunti yake iliyoko kwa jina la Tulia Trust, ni nani wanaingiza fedha humo?
3. Je hiyo Tulia Trust inawezekana ikawa inatakatisha fedha (money loundering) kwa kisingizo cha kutoa msaada?
4. Je hao wafadhili wa hizo fedha wanategemea kulipwa nini na Tulia Ackson?
Nimeleta hapa kwa kuwa Tulia Ackson mwenyewe anajitapa kwa kudanganya wazee wa Jiji na viongozi wa CCM Mkoa kuwa ametumwa na Magufuli kuchukua Jimbo la Mbeya ili awe SPIKA wa Bunge baada ya uchaguzi wa 2020.
Huna uhakika mshahara wake ni kiasi gani? Huna hakika Tulia trust ina wadhamini gani? Hofu yako ni Sugu kunyag'anywa Jimbo. Maana kama ana foundation yake alafu anatoa misaada hapo kuna kosa? Kuhusu kusema kama ametumwa na JPM kuchukua jimbo ili awe spika. Naomba utupie video yenye sauti hapa.Siyo kila mwenye mawazo tofauti na wewe unayelamba (bootlicker) viatu vya Tulia Ackson ni Sugu au mpambe wa Sugu. Mimi ni Mwana Mbeya huru ninayeona ujinga anaofanya Tulia. Njoo na majibu kwenye zile hoja zangu pale juu kwenye bandiko.
When ignorance is bliss to be wise is foolish...Lengo kuu la Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Namba 11 ya 2007 limeainishwa katika kifungu cha 4 cha Sheria hii ikiwa ni kuhakikisha ustawi wa utawala bora na kuondoa rushwa nchini. Ili kuhakikisha lengo hili linatimia, sheria hii inaweka mazingira bora kisheria, kiutawala, na kiutekelezaji yenye mwelekeo wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini.
Kama kweli mnafanya kazi kwa mujibu wa Sheria yenu ina maana jukumu lenu mojawapo ni kuzuia rushwa.
Mumetupa namba za kuwapigia lakini mimi nawaonyesha Mtanzania mmoja kwa jina la Tulia Ackson amekuwa anafanya vitendo vinavyoashiria uwapo wa rushwa katika Jiji la Mbeya.
Mshahara wa Naibu Spika unafahamika sidhani kama unazidi Tsh 15 Milioni. Lakini huyu Tulia Ackson amekuwa akigagawa fedha taslimu kwa vikundi vya akina mama na vijana.
Nawaita TAKUKURU muende mumhoji yafuatayo,
1. Je anapata wapi hizo fedha anazogawa kwa hivyo vikundi kama fedha takwimu au bidhaa?
2. Chunguzeni akaunti yake iliyoko kwa jina la Tulia Trust, ni nani wanaingiza fedha humo?
3. Je hiyo Tulia Trust inawezekana ikawa inatakatisha fedha (money loundering) kwa kisingizo cha kutoa msaada?
4. Je hao wafadhili wa hizo fedha wanategemea kulipwa nini na Tulia Ackson?
Nimeleta hapa kwa kuwa Tulia Ackson mwenyewe anajitapa kwa kudanganya wazee wa Jiji na viongozi wa CCM Mkoa kuwa ametumwa na Magufuli kuchukua Jimbo la Mbeya ili awe SPIKA wa Bunge baada ya uchaguzi wa 2020.
😂😂😂😂😂😂UKIONA SWALA ANATAMBA NA KUJIACHIA SANA MBUGANI, UJUE NI HAWARA WA SIMBA