We Ngoja atakuja kuliaHaka ka maza wanakadanganya kuhusu jimbo la Sugu....
Atawaponza wakurugenzi bure...
Tupe wewe takwimu za ukweli kuhusu Tulia. Mshahara wake ni ngapi? Na nani wachangiaji wa Tulia Trust Fund?Huna uhakika mshahara wake ni kiasi gani? Huna hakika Tulia trust ina wadhamini gani? Hofu yako ni Sugu kunyag'anywa Jimbo. Maana kama ana foundation yake alafu anatoa misaada hapo kuna kosa? Kuhusu kusema kama ametumwa na JPM kuchukua jimbo ili awe spika. Naomba utupie video yenye sauti hapa.
Wewe ambae una nia njema ya kulisaidia taifa. Kwa sababu una mashaka na namna anavyogawa pesa na wapi Tulia trust inapata pesa? Nenda ofisi za takukuru hapo Mbeya,hawana iana watafungua faili ili uchunguzi ufanyike.Tupe wewe takwimu za ukweli kuhusu Tulia. Mshahara wake ni ngapi? Na nani wachangiaji wa Tulia Trust Fund?
Je kwenye Tume ya maadili ame declare nini?
Usipende kuwa kama robot kujifanya unajibu kila kitu kinachoelekezwa kwa mwana CCM kwa vile analipwa na PolePole
Uzi niliwaandikia TAKUKURU kwa mujibu wa sera yao ya whistle blowing. Sasa wewe kitu gani kilikufanya uanze kumtetea?Wewe ambae una nia njema ya kulisaidia taifa. Kwa sababu una mashaka na namna anavyogawa pesa na wapi Tulia trust inapata pesa? Nenda ofisi za takukuru hapo Mbeya,hawana iana watafungua faili ili uchunguzi ufanyike.
Kwani ofisi za tume ya secretariat ya maadili ya utumishi wa umma hufahamu zilipo?
Alafu acha habari za kuita watu robots,heshima ni kitu cha bure.
Nilimtetea au nilihoji kama unaushahidi uliojitosheleza?Uzi niliwaandikia TAKUKURU kwa mujibu wa sera yao ya whistle blowing. Sasa wewe kitu gani kilikufanya uanze kumtetea?
Unataka uwe kama Julian Assange?Ushahidi unapokea wewe? Au hufahamu whistle blowing policy and mechanism inavyo operate?