TAKUKURU anzeni na Tulia Ackson

TAKUKURU anzeni na Tulia Ackson

Unakijua kikaragosi ...ndio hao takokuru
Lengo kuu la Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Namba 11 ya 2007 limeainishwa katika kifungu cha 4 cha Sheria hii ikiwa ni kuhakikisha ustawi wa utawala bora na kuondoa rushwa nchini. Ili kuhakikisha lengo hili linatimia, sheria hii inaweka mazingira bora kisheria, kiutawala, na kiutekelezaji yenye mwelekeo wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini.

Kama kweli mnafanya kazi kwa mujibu wa Sheria yenu ina maana jukumu lenu mojawapo ni kuzuia rushwa.

Mumetupa namba za kuwapigia lakini mimi nawaonyesha Mtanzania mmoja kwa jina la Tulia Ackson amekuwa anafanya vitendo vinavyoashiria uwapo wa rushwa katika Jiji la Mbeya.

Mshahara wa Naibu Spika unafahamika sidhani kama unazidi Tsh 15 Milioni. Lakini huyu Tulia Ackson amekuwa akigagawa fedha taslimu kwa vikundi vya akina mama na vijana.

Nawaita TAKUKURU muende mumhoji yafuatayo,
1. Je anapata wapi hizo fedha anazogawa kwa hivyo vikundi kama fedha takwimu au bidhaa?

2. Chunguzeni akaunti yake iliyoko kwa jina la Tulia Trust, ni nani wanaingiza fedha humo?

3. Je hiyo Tulia Trust inawezekana ikawa inatakatisha fedha (money loundering) kwa kisingizo cha kutoa msaada?

4. Je hao wafadhili wa hizo fedha wanategemea kulipwa nini na Tulia Ackson?

Nimeleta hapa kwa kuwa Tulia Ackson mwenyewe anajitapa kwa kufanganya wazee wa Jiji na viongozi wa CCM Mkoa kuwa ametumwa na Magufuli kuchukua Jimbo la Mbeya ili awe SPIKA wa Bunge baada ya uchaguzi wa 2020.
 
alafu anatusumbua sumbua sana hapa mjini na vingora vyake kumbe anaenda kutoa rushwa huko na kufanya maigizo yake ya siasa
 
Takukuru kama joka la kibisa yenyewe inadeal na aveva na malinzi tu
 
Sio rahisi hivyo mkuu, angalia alama za nyakati. Sheria zinabagua watu zama hz na kushughulikia wengine
Hakika Mkuu, kuna "double standards" nyingi sana ktk utekelezaji wa sheria hapa nchini. Wapo ambao wamebainika kufanya hata mauaji ndani ya nyumba za ibada na tena mbele ya waumini, lkn kwa kuwa ni jamaa wa karibu na ni sehemu ya watawala wala hawaguswi na sheria, sembuse hili la rushwa wakati wa uchaguzi, wakati michezo hiyo ni sehemu muhimu ya kimkakati kwa makada. Thubutu yake!
 
Lengo kuu la Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Namba 11 ya 2007 limeainishwa katika kifungu cha 4 cha Sheria hii ikiwa ni kuhakikisha ustawi wa utawala bora na kuondoa rushwa nchini. Ili kuhakikisha lengo hili linatimia, sheria hii inaweka mazingira bora kisheria, kiutawala, na kiutekelezaji yenye mwelekeo wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini.

Kama kweli mnafanya kazi kwa mujibu wa Sheria yenu ina maana jukumu lenu mojawapo ni kuzuia rushwa.

Mumetupa namba za kuwapigia lakini mimi nawaonyesha Mtanzania mmoja kwa jina la Tulia Ackson amekuwa anafanya vitendo vinavyoashiria uwapo wa rushwa katika Jiji la Mbeya.

Mshahara wa Naibu Spika unafahamika sidhani kama unazidi Tsh 15 Milioni. Lakini huyu Tulia Ackson amekuwa akigagawa fedha taslimu kwa vikundi vya akina mama na vijana.

Nawaita TAKUKURU muende mumhoji yafuatayo,
1. Je anapata wapi hizo fedha anazogawa kwa hivyo vikundi kama fedha takwimu au bidhaa?

2. Chunguzeni akaunti yake iliyoko kwa jina la Tulia Trust, ni nani wanaingiza fedha humo?

3. Je hiyo Tulia Trust inawezekana ikawa inatakatisha fedha (money loundering) kwa kisingizo cha kutoa msaada?

4. Je hao wafadhili wa hizo fedha wanategemea kulipwa nini na Tulia Ackson?

Nimeleta hapa kwa kuwa Tulia Ackson mwenyewe anajitapa kwa kufanganya wazee wa Jiji na viongozi wa CCM Mkoa kuwa ametumwa na Magufuli kuchukua Jimbo la Mbeya ili awe SPIKA wa Bunge baada ya uchaguzi wa 2020.
Lait viongozi wetu wangefanya kama vile alivyowahi kufanya rais Botswana kuhusu waziri mmoja aliyetuhumia kutoa rushwa. Cha muhimu kuhusu nia njema ya kupambana na rushwa nikuifanyia taarifa yeyote ila kazi bila kumuangalia MTU usoni
 
Ahaaaaaaaaaaa meku unanikumbusha moshi mupe mruke ahaaaaaa achana na hicho kitu
Mupe muruke
Ova
[/QUOTE]
 
Juzi Naibu Spika Tulia Ackson Alishiriki Igizo La Kuizika CHADEMA Mbeya. Walichukua Jeneza Wakaweka Bendera Ya CHADEMA Pamoja Na Msalaba Na Kufanya Maombolezo. Baada Ya Kumaliza 'Msiba' Huo, Baadhi Ya Washiriki Wakapata Ajali Ambapo Watu Wawili Wamefariki Na Wengine Kujeruhiwa. https://t.co/f7BDVNGy6G
 
Attachments

  • IMG-20190922-WA0007.jpg
    IMG-20190922-WA0007.jpg
    51.5 KB · Views: 25
Nakubaliana na hilo lakini sisi kama Wa Tanzania wenye akili timamu wajibu wetu ni kukosoa pale tunapoona pana matatizo au ukakasi.

Tuendelee kupaza sauti, iko siku TAKUKURU watalifanyia kazi.

TAKUKURU ipi hii hii ya kupambana na wapinzani wa Magu?
Hata siku moja hawawezi kumhoji tulia labda 2030
[/QUOTE]
Nashukuru kwa mchango wako na kutambua kuwa jinai haiozi kwa hiyo hata 2030 huyu Kigagula Tulia aweza simama kizimbani.
 
Wiv
Kuna wakati aligawa bodaboda kwa vikundi vya vijana. Mwanzoni mwaka huu alikusanya waalimu wa shule za msingi na kuwapeleka ziara ya kibunge Dodoma. Anafanya mashindano ya ngoma na riadha kwa fedha za wafadhili. Je atazilipaje?
Wivu tu si ugawe na wewe jimboni kwako
 
Chama Tawala kikiingia madarakani kinakuwa na nguvu za kisiasa na kiuchumi.
Chama kinaweza kufanya jambo lolote la kiuchumi na kisiasa kikiwa katika majukumu yake ya kikanuni na kisheria ya kutekeleza ilani ya chama chao, ilani iliyowapa ushindi.
Kwa namna yoyote hiyo watafanya kila jambo jema na baya kwa mwavuli huu na huna mamlaka ya kikanuni wala kisheria kuwazuia.
Yule unayetaka awachunguze ni mteule wa Chama Tawala.
Ni vyema vyama vingine vya upinzani kusubiri kipindi kikifika cha uchaguzi basi na wao wapambane ili chama chao kisiwe cha upinzani bali kiwe chama Tawala na baada ya hapo nao watafanya yale wanayofikiri yataimarisha chama chao.
 
Lengo kuu la Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Namba 11 ya 2007 limeainishwa katika kifungu cha 4 cha Sheria hii ikiwa ni kuhakikisha ustawi wa utawala bora na kuondoa rushwa nchini. Ili kuhakikisha lengo hili linatimia, sheria hii inaweka mazingira bora kisheria, kiutawala, na kiutekelezaji yenye mwelekeo wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini.

Kama kweli mnafanya kazi kwa mujibu wa Sheria yenu ina maana jukumu lenu mojawapo ni kuzuia rushwa.

Mumetupa namba za kuwapigia lakini mimi nawaonyesha Mtanzania mmoja kwa jina la Tulia Ackson amekuwa anafanya vitendo vinavyoashiria uwapo wa rushwa katika Jiji la Mbeya.

Mshahara wa Naibu Spika unafahamika sidhani kama unazidi Tsh 15 Milioni. Lakini huyu Tulia Ackson amekuwa akigagawa fedha taslimu kwa vikundi vya akina mama na vijana.

Nawaita TAKUKURU muende mumhoji yafuatayo,
1. Je anapata wapi hizo fedha anazogawa kwa hivyo vikundi kama fedha takwimu au bidhaa?

2. Chunguzeni akaunti yake iliyoko kwa jina la Tulia Trust, ni nani wanaingiza fedha humo?

3. Je hiyo Tulia Trust inawezekana ikawa inatakatisha fedha (money loundering) kwa kisingizo cha kutoa msaada?

4. Je hao wafadhili wa hizo fedha wanategemea kulipwa nini na Tulia Ackson?

Nimeleta hapa kwa kuwa Tulia Ackson mwenyewe anajitapa kwa kudanganya wazee wa Jiji na viongozi wa CCM Mkoa kuwa ametumwa na Magufuli kuchukua Jimbo la Mbeya ili awe SPIKA wa Bunge baada ya uchaguzi wa 2020.
ukitaka itungwe sheria mpya ya kuifuta TAKUKURU bungeni waambie wamguse Tulia , huyu ni mwanamke asiye na aibu yoyote aliyetumwa kusambaza rushwa Mbeya
 
Chama Tawala kikiingia madarakani kinakuwa na nguvu za kisiasa na kiuchumi.
Chama kinaweza kufanya jambo lolote la kiuchumi na kisiasa kikiwa katika majukumu yake ya kikanuni na kisheria ya kutekeleza ilani ya chama chao, ilani iliyowapa ushindi.
Kwa namna yoyote hiyo watafanya kila jambo jema na baya kwa mwavuli huu na huna mamlaka ya kikanuni wala kisheria kuwazuia.
Yule unayetaka awachunguze ni mteule wa Chama Tawala.
Ni vyema vyama vingine vya upinzani kusubiri kipindi kikifika cha uchaguzi basi na wao wapambane ili chama chao kisiwe cha upinzani bali kiwe chama Tawala na baada ya hapo nao watafanya yale wanayofikiri yataimarisha chama chao.
Tulia Ackson anafanya haya Mbeya kama nani , si kiongozi wa ccm wala si mbunge anayewakilisha Mbeya , yeye ni nani ?
 
Mungu hadhihakiwi, angekufa yeye
Juzi Naibu Spika Tulia Ackson Alishiriki Igizo La Kuizika CHADEMA Mbeya. Walichukua Jeneza Wakaweka Bendera Ya CHADEMA Pamoja Na Msalaba Na Kufanya Maombolezo. Baada Ya Kumaliza 'Msiba' Huo, Baadhi Ya Washiriki Wakapata Ajali Ambapo Watu Wawili Wamefariki Na Wengine Kujeruhiwa. https://t.co/f7BDVNGy6G
 
Wiv

Wivu tu si ugawe na wewe jimboni kwako
Kumbe unaitwa sabuni, mahali unakostahili ni kwenye uchafu. Watu wengine mna laana zinatokana na mababu zenu. Tunakusamehe kwa kuitwa sabuni, yaani kazi yako ni kutoa POVU.
 
ukitaka itungwe sheria mpya ya kuifuta TAKUKURU bungeni waambie wamguse Tulia , huyu ni mwanamke asiye na aibu yoyote aliyetumwa kusambaza rushwa Mbeya
Tuendelee kupaza sauti, kama kuna watu wenye busara watamkanya.
 
Back
Top Bottom