Takribani watu 1,300 wameuawa na Mamilioni kupoteza makazi Iran

Takribani watu 1,300 wameuawa na Mamilioni kupoteza makazi Iran

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Shirika la la habari la Kimataifa Al Jazeera imetoa ripoti inayoonyesha kiasi gani Iran imeathirika katika mashambulizi yanayoendelea dhidi yake katika mashambulizi yaliyoanzishwa na Israel pamoja na mshirika wake Marekanin yaliyoanza February 28, 2026 na mpaka sasa yanaendelea

Ripoti hiyo imeonyesha takeibani watu 1,300 wameuawa na mamilioni kupoteza makazi yao.

Baadhi ya miundombinu iliyoharibiwa ni
  • Majengo ya Afya- 160
  • Nyumba/ Makazi- 17,353
  • Majengo ya elimu?shule- 69
  • Majengo ya biashara- 4,122
  • Majengo ya kikosi cha Msaada Iran(Red Cresent)-16
Soma pia Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Israel + Marekani vs Iran

Sasa mbona huyo mwandishi ameweka habari za upande Mmoja

Ngoja nimsaidie
 
Attachments

  • Screenshot_20260313-192728.jpg
    Screenshot_20260313-192728.jpg
    191.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20260312-194530.jpg
    Screenshot_20260312-194530.jpg
    140.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20260312-092736.jpg
    Screenshot_20260312-092736.jpg
    206.7 KB · Views: 3
  • Screenshot_20260311-213205.jpg
    Screenshot_20260311-213205.jpg
    122.5 KB · Views: 2
Viwanda vyote vinavyounda na kutengeneza mahitaji ya kiulinzi na kijeshi nchini Iran vinaendelea kuangamizwa kimoja baada ya kingine.
 
Tukilinganisha na waliokufa October 29,hiyo ni rookie number
 
INasikitisha sana, hasa kama hao 1,300 ni wananchi wa kawaida ambao hawana habari na mambo ya nuklia wala makombora ya kuwaangamiza majirani wa Iran.
Siwezi kusikitikia vifo vya wauaji, bali wairan wa kawaida, maana hao wairan wa kawaida wanapitia magumu mengi sana, Ayatollah amewaua kwa maelfu, na sasa tena wale walionusurika enzi za maauaji ya Ayatollah
 
Back
Top Bottom