Takeaway

Takeaway

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,120
1421259706639.jpg
 
yaani hata mimi hiki kidhungu kinanichanganyaga hiki naziogopa thread za kiinglish.

Hahahaha hujanishinda huwa nachoka kuangalia neno moja moja kwenye kamusi lol yaani mtu akianzisha uzi wa kiinglish farkhina asimwite lol
 
Yupo hoteli mwenyewe hadi nimemuonea choyo lol

Watoto wakiwa wananyonya huwa wana enjoy sana na hizo pozi zao utapenda tu husasan kuanzia mwaka mmoja kwendea juu
weweeeee!! hawaenjoy kama anavyoenjoy baba akinyonya hayo makitu.
 
safiiii ila mama asije jisahau akasababisha ajali
 
Back
Top Bottom