Take a look

Take a look

Mliosoma shule za BWENI mkiiona hii picha mnakumbuka WAPI na LINI.??

attachment.php
Ifunda the glorious technical school live long forever, with our motto, skills and efficience, we shall build, our national strong, and our school, shall shine forever, more ooohh God bless our school......... YAANI NAKUMBUKA YENGU LA IFUNDA
 
nakumbuka ashira siku ya j5 mchana
kha umesoma ashira girls wewe kha my school mate as weel mimi ni 2003 leaver and i was a prefect as welll kama ulikuwepo miaka hiyo utakuwa unanijua vizuri sna
 
kha umesoma ashira girls wewe kha my school mate as weel mimi ni 2003 leaver and i was a prefect as welll kama ulikuwepo miaka hiyo utakuwa unanijua vizuri sna

mdogo wangu nivea mwaka huo mie niko kazini. nimemaliza ashira 1994
 
Last edited by a moderator:
bwiru
girls
aisee,
hakuna
chakula
nilichokua
nakipenda
kama
hiki.
 
bwiru
girls
aisee,
hakuna
chakula
nilichokua
nakipenda
kama
hiki.
Teh teh teh KUMBE weye naye ulikua "MENDE"....
Nimesoma pale BOYS mie O level..Nakumbuka mitaa kama MNARANI, MOMBASA, UKARANI na mingineyo..dah zamani sana aiseee...
 
Ifunda the glorious technical school live long forever, with our motto, skills and efficience, we shall build, our national strong, and our school, shall shine forever, more ooohh God bless our school......... YAANI NAKUMBUKA YENGU LA IFUNDA
Mkuu na weye ni wa TECH..dah aisee mie nimesoma BWIRU BOYS TECH bana...maisha yetu yanafanana sana...Shule unapiga msuli kama unataka kufiapo aisee...Chezeya msuli wa CIVIL weye.....
 
we use to call em KAYAMBA,yale mabakuli makubwa lol,kuna siku watu walikuta panya kwenye kande
it was uncomfortable
Hizo KAYAMBA ndio ile mobakuli unamix NGUNA na BEANS humo humo mkuu..
Dah kaazi kweli kweli...
 
Enzi za nguna sio!namkumbuka dogo mmoja alikuwa anakuja na dagaa wa kukaanga basi ukichukua dagaa mmoja tu ukamtia kwenye ndondo,ndondo lote linakuwa na ladha ya ajabu....nguna hata liweje lazima liishe.hizo ni pade za tky
 
duuh asante kwa kutukumbusha those gud dayz pesa ikiisha unaandika barua tu! mh makande meupe na mafuta ya taa kdg basi mambo yanaenda tu na watu wanachana vilevile
 
Hapo nakumbuka makande ya Manyara Ranch primary school enzi hizo kapika babu Cosma!!dah..loooooong time
 
Hiyo picha itakuwa imepigwa Ilboru...hiyo combo ya Jiko + Sufuria inafanana kabisa na zile za Ilboru.
Dah, unanifanya niwakumbuke wapishi wafuatao,

1. Erasto (Huyu alikuwa ni mjeuriiii, halafu meno kama kang'ata nya)
2. Melkizedeck (Huyu tulikuwa tunamuita Baunsa, maana alikuwa kajazia misuli kama John Cena)
3. Uncle John (Huyu mdingi sijui alikuwa Bwabwa!!, maana hata kuvunja biskuti iliyoloweshwa kwake ilikuwa tabu, kazi yake kubwa ilikuwa kuchemsha maji tu...)
4. Kuna mama(Mdada) nimesahau jina lake, yeye alikuwa inchaji wa kupika misosi ya wagonjwa, kulikuwa na utaratibu watu wote wenye matatizo ya vidonda vya tumbo, macho na kadhalika wanapikiwa Spesho Dayati...
 
Enzi za nguna sio!namkumbuka dogo mmoja alikuwa anakuja na dagaa wa kukaanga basi ukichukua dagaa mmoja tu ukamtia kwenye ndondo,ndondo lote linakuwa na ladha ya ajabu....nguna hata liweje lazima liishe.hizo ni pade za tky
Dah mkuu umenikumbusha enzi zile sie tulikua tunakaanga mafuta tuna mix na vitunguu tunayahifadhi..ikifika jioni muda wa beans unatumbukiza kijiko kimoja yaani wanakutamanijee bweni zima....hapo ukitoa SOCIAL PREFECT na HP weye ndio mjanja shule nzima...
 
duuh asante kwa kutukumbusha those gud dayz pesa ikiisha unaandika barua tu! mh makande meupe na mafuta ya taa kdg basi mambo yanaenda tu na watu wanachana vilevile
Teh mkuu enzi hizo mambo ya EMO au TMO..hakuna cha tigo pesa wala Mpesa///
Chezeya life ya boarding weye....
 
Tosamaganga High School aisee,kula sana iyo kitu na iliitwa 'sumu'...

Blackberry 9700
 
Duh nimekumbuka enzi za Mkwawa complex haswa ukilipatia na "appetizer" ya kuomba kwa wale ambao TMO haziwapiti
Hapo Makanyagio hawanioni
 
Dah mkuu umenikumbusha enzi zile sie tulikua tunakaanga mafuta tuna mix na vitunguu tunayahifadhi..ikifika jioni muda wa beans unatumbukiza kijiko kimoja yaani wanakutamanijee bweni zima....hapo ukitoa SOCIAL PREFECT na HP weye ndio mjanja shule nzima...
Mkuu mkorogo wake ndio huo huo yaan hayo mafuta yanakaangwa na dagaa plus vitunguu maji and then yanachujwa yanabaki mafuta tupu.Sasa tia kijiko kimja tu kwenye ndondo!ndondo linakuwa kama kuku.Yule dogo alikuwa anaheshimiwa dom nzima ila sis sometimes tulikuwa tunatumia ubabe kupata huduma yake.tukuyu mby
 
Back
Top Bottom