Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,578
- 28,701
Jamani we asigwa acha hizo bana unanikumbushia mbali enzi zile za shule unaenda kuyawekea sukari au unamiminia chilisosi haaaa mlo kamili,chezeya maisha ya shule wewe!!!!!!! NIGGA njoo uone alichotuwekea asigwa hapa leo,inakukumbusha wapi?afu hujanipa zawadi ya valentine leo kwa nini bana?afu misssssssssssing you soooooooo!!!!!!
Dah mkuu kweli tuntoka mbali sana...enzi hizo wali kuunusa ni mara moja kwa wiki...Jamani we asigwa acha hizo bana unanikumbushia mbali enzi zile za shule unaenda kuyawekea sukari au unamiminia chilisosi haaaa mlo kamili,chezeya maisha ya shule wewe!!!!!!! NIGGA njoo uone alichotuwekea asigwa hapa leo,inakukumbusha wapi?afu hujanipa zawadi ya valentine leo kwa nini bana?afu misssssssssssing you soooooooo!!!!!!
Teh mkuu walikua wanasemaga eti majasho ya hawa watu yanaongeza VITAMINI....Tushakula sana mende na majasho ya hawa jamaa
Hehehehe Asingwa ananikumbusha enzi hizo ilboru 1998,tunakula iyo kitu daily
mpishi akiwa jamaa anajiita anko,please find the attached Valentine cards special for you
HAPPY VALENTINE BLUE G!!View attachment 83149View attachment 83151
Dah aisee kumbe karibu kila mahali hii kitu ilikua inaliwa...tumetoka mbali sana....nakumbuka ashira siku ya j5 mchana
Dah mkuu kweli tuntoka mbali sana...enzi hizo wali kuunusa ni mara moja kwa wiki...
Kuna watu walikua wanayatunza wananywea UJI asubuhi yaani ikifika saa 6 kuelekea saa 7 mchana ni full kusunzia...
Dah kweli mkuu...tumetoka mbali sana...mie nakumbuka nilikua na bonge la KOPO la mafuta ya KIMBO kama la kilo mbili hivi...nikijaza mzigo humo nikaumaliza msuli wake asikwambie mtu....Hehehehe Asingwa ananikumbusha enzi hizo ilboru 1998,tunakula iyo kitu daily
mpishi akiwa jamaa anajiita anko,please find the attached Valentine cards special for you
HAPPY VALENTINE BLUE G!!View attachment 83149View attachment 83151
Dah aisee kumbe karibu kila mahali hii kitu ilikua inaliwa...tumetoka mbali sana....
Kweli mkuu...maisha ya shule siri ya aliyeyapitia...na ukishakaa sana lazima kuna vijitabia utajifunza tuu hata kama hutaki..Kama kutojipenda penda na kuwa rough ni kawaida sanaMaisha ya shule bwana weee acha tu!walioimba maisha ya shule ni safari ndefu hawakukosea.
Kweli mkuu...maisha ya shule siri ya aliyeyapitia...na ukishakaa sana lazima kuna vijitabia utajifunza tuu hata kama hutaki..Kama kutojipenda penda na kuwa rough ni kawaida sana
Na ukizingatia shule yenyewe ni boys tupu au girls tupu ndo kabisa.Kweli mkuu...maisha ya shule siri ya aliyeyapitia...na ukishakaa sana lazima kuna vijitabia utajifunza tuu hata kama hutaki..Kama kutojipenda penda na kuwa rough ni kawaida sana
Dah kweli mkuu...tumetoka mbali sana...mie nakumbuka nilikua na bonge la KOPO la mafuta ya KIMBO kama la kilo mbili hivi...nikijaza mzigo humo nikaumaliza msuli wake asikwambie mtu....
ur welcom my dear,ngoja niku pm,nisije pigwa na my shem bure lol