Taka za sumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taka za sumu

Discussion in 'International Forum' started by kikaango, Sep 17, 2009.

 1. kikaango

  kikaango Member

  #1
  Sep 17, 2009
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. C

  Choveki JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2009
  Joined: Apr 16, 2006
  Messages: 448
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mara nyingi nikuwa nahoji uzalendo wa hao wakuu (viongozi wetu), kwani huhitaji kuwa na digrii kufahamu kuwa taka za sumu zitawadhuru wananchi wako.

  Vitu kama hivi ni kusubiri halafu nchi zilizoathirika zikipata viongozi wazuri kuanza kudai fidia nyingi sana.
   
 3. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Ivory Coast wakati huo kulikuwa na vaccum ya uongozi. Walikuwa wanatwangana wenyewe kwa wenyewe - na jamaa wakatumia mwanya huo kumwaga mataka yenye sumu.
   
Loading...