Tajiri Suhail muzammil

Tajiri Suhail muzammil

Rog chimera

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
398
Reaction score
714
Wanaomjua huyu dogo wa zanzibar ,rafk mkubwa wa diamond platinum, chanzo cha utajiri wake ni nini ? Maana naona sio wa ki spoti spoti yuko heavy sana uyu dogo, ma range rover ya kutosha na mansion na madiko diko kibao
 
Attachments

  • Screenshot_20190820-214559_Instagram.jpg
    Screenshot_20190820-214559_Instagram.jpg
    74.7 KB · Views: 85
  • Screenshot_20190820-214642_Instagram.jpg
    Screenshot_20190820-214642_Instagram.jpg
    101.4 KB · Views: 92
  • Screenshot_20190820-214620_Instagram.jpg
    Screenshot_20190820-214620_Instagram.jpg
    87.5 KB · Views: 93
  • Screenshot_20190820-214629_Instagram.jpg
    Screenshot_20190820-214629_Instagram.jpg
    97.3 KB · Views: 90
Wanaomjua huyu dogo wa zanzibar ,rafk mkubwa wa diamond platinum, chanzo cha utajiri wake ni nini ? Maana naona sio wa ki spoti spoti yuko heavy sana uyu dogo, ma range rover ya kutosha na mansion na madiko diko kibao
Mengi alikuwa na Range rover ngapi? Tuanzie hapo kwanza..
 
Pengine yawezekana ikawa ni hivyo
Hahaha Wabongo bwana!!! Hawa akina Muzamil ni Matajiri wa zamani Sana Zanzibar

hawa ni wafanya Biashara Wakubwa kama akina, Bakharesa,.. nk

Upande wa pili wa Mungano ndio mnawajua akina Muzamil leo, lakini Wazanzibari wanawajua hao jamaa siku nyingi sana
 
Vijana hawa wa stunt za ufahari kwenye mitandao ya kijamii haswa kutokea Africa na South America ni kawaida yetu, ila wanajitokeza na misimu haina shaka kuwa tutawakumbuka baada ya kupotea kwenye social platforms as others waliotangulia pia, kuweni makini unapo publicize watu wanaoishi poa which is not bad kuishi hivyo ila kuwa ni "matajiri "bila data sahihi kama Forbes wanavyopata vibali rasmi, mtawaletea shida nyingi baadae. Ila tunajua kuwa ni watoto wa vigogo wa siasa, madawa ya kulevya, dili chafu kama civil wars, racketeering n.k. Nimewakumbuka akina Jimmy Mcmele, Kavishe na wana aisee, R.I.H Bros!

NB: Nisinukuliwe vibaya, it's not biasness nor hating ila i know for them facts. Kuweni makini kuwasemea watu maisha yao bila wao kufanya ridhaa ya comfirmation ya uhalali wa wanachuvuna na kucirculate kwenye economy ya taifa na kimataifa.
 
Hahaha Wabongo bwana!!! Hawa akina Muzamil ni Matajiri wa zamani Sana Zanzibar

hawa ni wafanya Biashara Wakubwa kama akina, Bakharesa,.. nk, Upande wa pili wa Mungano ndio mnawajua akina Muzamil leo, lakini Wazanzibari wanawajua hao jamaa siku nyingi sana
Afu znz huwa hakunaga tabia za kushobokea watu...
Bara mpaka bongo muvi anashobokewa!

Wana pesa ya mboga tu...
 
Wanaomjua huyu dogo wa zanzibar ,rafk mkubwa wa diamond platinum, chanzo cha utajiri wake ni nini ? Maana naona sio wa ki spoti spoti yuko heavy sana uyu dogo, ma range rover ya kutosha na mansion na madiko diko kibao
Tafuta pesa chalii, achana na life za watu!
 
Huyo dogo ni kula kulala anatoka kwenye familia ya wakwepa kodi wakubwa pale Zanzibar inaitwa Muzammil wana maduka ya electronics na nguo pia ni familia inayohusishwa na bumbwi
 
Wanaomjua huyu dogo wa zanzibar ,rafk mkubwa wa diamond platinum, chanzo cha utajiri wake ni nini ? Maana naona sio wa ki spoti spoti yuko heavy sana uyu dogo, ma range rover ya kutosha na mansion na madiko diko kibao
Kama ushafika Z"bar basi hilo jina tu la Muzzamil sio geni sababu ni miongoni mwa matajiri wakubwa na huyo ni mtoto wake Muzzamil
 
Huyo dogo ni kula kulala anatoka kwenye familia ya wakwepa kodi wakubwa pale Zanzibar inaitwa Muzammil wana maduka ya electronics na nguo pia ni familia inayohusishwa na bumbwi
Nenda na wewe kawe acheni watu wale maisha yao HIVI WABONGO tutabadilika lini...ukiona mwenzio anakidh mahitaji yake kwa njia yoyote ile muache na wewe ukiona umebanwa sana tafuta njia yoyote ukidhi mahitaji yako ili watoto wazazi wasife njaa...mtaftaji jasiri na anaetambuwa uwepo wake katika majukumu yake kwenye family au ukoo wake yupo dhari yeye ata afe aachie watoto au wazazi wake wasiwe na msongo wa mawazo....Hivi mnajiona ni watoto wakiume kweli kuanza kusema mwenzio sijui muuza madawa sijui freemason ili hali unamuona anafanikiwa...wewe kufa na njaa yako acha wanaume wadhubutu kwani hela ya madawa inafanya kazi gani mtaani ni kukidh mahitaji na matwakwa ya familia au koo yako .....Ni hayo tu
 
Kwanza ujue maisha ya mitandao na maisha halisi ni tofauti .

Pili huyo anatokea familia ya Muzammil ambao ni wafanyabiashara wa mwanzo Zanzibar. Wanamiliki majengo kazaa ambayo ni hot properties na ambayo yamekodishwa kwa makampuni makubwa ya kimataifa.Pia wanamiliki hoteli za kitalii.

Tatu huyo dogo ana anamiliki kiwanda cha maji

Nne huyo dogo hana utajiri wa hivyo ispokua ni show off tu na swagger tu za mitandaoni. Ukimuona mitaani ni mtu wa kawaida tu. Nliwahi kumuona godown moja anasimamia kupakia sabuni akiwa na gari moja imechoka tu Honda HRV .
 
Back
Top Bottom