Tajiri Suhail muzammil

Tajiri Suhail muzammil

Kosa langu ni kusema ukweli..the way ulivyoandika kama sio umetoka uswahilini basi umeishia kidato cha nne una msongo wa mawazo kwa taarifa yako tu kaka zake hao jamaa nilisoma nao
Nenda na wewe kawe acheni watu wale maisha yao HIVI WABONGO tutabadilika lini...ukiona mwenzio anakidh mahitaji yake kwa njia yoyote ile muache na wewe ukiona umebanwa sana tafuta njia yoyote ukidhi mahitaji yako ili watoto wazazi wasife njaa...mtaftaji jasiri na anaetambuwa uwepo wake katika majukumu yake kwenye family au ukoo wake yupo dhari yeye ata afe aachie watoto au wazazi wake wasiwe na msongo wa mawazo....Hivi mnajiona ni watoto wakiume kweli kuanza kusema mwenzio sijui muuza madawa sijui freemason ili hali unamuona anafanikiwa...wewe kufa na njaa yako acha wanaume wadhubutu kwani hela ya madawa inafanya kazi gani mtaani ni kukidh mahitaji na matwakwa ya familia au koo yako .....Ni hayo tu
 
yuko /hayuko safi maana mali za familia ,hao muzamill ni nyoko flan kule zenji mtandao wao wa biashara uko sawa ,mahitel real estates, maduka ya electronic ya vifaa genuine hapo ukiqa na pesa mawazo hata pasu hununui,!kila kitu kile chenyewe tu!
 
Kosa langu ni kusema ukweli..the way ulivyoandika kama sio umetoka uswahilini basi umeishia kidato cha nne una msongo wa mawazo kwa taarifa yako tu kaka zake hao jamaa nilisoma nao
 
Sema Wabongo Kwa Kufatilia Life za Watu ni Nyoko sanaa. Daaah 🤣🤣🤣

Yani wabongo utashangaa watakuambia hadi mambo yako ya ndani kabisa. Daah 🤣🤣
 
Afu znz huwa hakunaga tabia za kushobokea watu...
Bara mpaka bongo muvi anashobokewa!

Wana pesa ya mboga tu...
Zanzibar hawana kabisa mambo hayo, unaweza kwenda forodhani usiku unakutana na star wa bongo lakini watu hawana habari nae
 
Kwanza ujue maisha ya mitandao na maisha halisi ni tofauti .

Pili huyo anatokea familia ya Muzammil ambao ni wafanyabiashara wa mwanzo Zanzibar. Wanamiliki majengo kazaa ambayo ni hot properties na ambayo yamekodishwa kwa makampuni makubwa ya kimataifa.Pia wanamiliki hoteli za kitalii.

Tatu huyo dogo ana anamiliki kiwanda cha maji

Nne huyo dogo hana utajiri wa hivyo ispokua ni show off tu na swagger tu za mitandaoni. Ukimuona mitaani ni mtu wa kawaida tu. Nliwahi kumuona godown moja anasimamia kupakia sabuni akiwa na gari moja imechoka tu Honda HRV .
Ni kweli ila sio kama mlo wake unamshinda. Hapa zenji ana range rover 2. Moja nyeusi na moja nyeupe na zote ameandika jina lake kwenye plate zikisoma SUHAIL. Ukikaa mlandege kwenye maduka ya vifaa vya ujenzi kuna barabara imekata. Anapita sana. Leo kama atapita nitakupigia picha
 
Back
Top Bottom