Taja sifa za madereva bodaboda

Ukome na wewe
Ndo umeamua kuja kunisema huku?
 
Yani hawa jamaa huwa hawawezi kusubiri unaweza kuwa upo kwenye gari umesimama kwenye zebra watu wa pite utashangaa kakatiza watu wanaovuka ndo inabidi wasubiri!!!
Tabia nyingine huwa wana makoti yao yani kiharufu flani cha jasho kinakera kinoma huwa gawafui yale makoti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…