Nam mbona umetaja zaidi ya mawili asee.
Oh, Oo
Nilijua tu kuwa ntakukamata,heh heh.
Oppsss basi niliacha itabidi nijaribu tena aisee!!Yes ni herufi mamiiii...!.
mythologyooh okay............haya nasubiria.
Nipe maana ya maneno yako mkuu.
Hahahaaa nam nipe tafsiri ya hayo maneno asee,heh heh.
Nam umekosaaaaaaaa...!.
Doo! hayao sio maneno tena nini...au yameshafutwa kwenye kamusi ya oxfordUmekosa bwana nyundo.