Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,539
- 9,076
@Thad
Asanteni sana kwa kunijuza maana ya hilo jina kwani mhusika alitaka kunipiga mzinga ili aniambie maana yake.Akija nadhani ataona
Hahaha ni kichaga hicho sana sana cha marangu hadi kirua vunjo.Asanteni sana kwa kunijuza maana ya hilo jina kwani mhusika alitaka kunipiga mzinga ili aniambie maana yake.
(Hivi hiyo lugha ni kishumundu eeeh)
5. Chagga Barbie (Msukule)Kwa ufupi kuna baadhi ya majina nikisoma huwa nacheka sana nikiwa natafakari huyo mtu mwenye hilo jina alikua anawaza nini wakati wa kujisajili humu JF. Majina ya kufurahisha ni kama yafuatayo, kwa uchache:
1. Mchecheto;
2. Miss Natafuta;
3. Kipara kipya;
4. Mkwepa kodi
5......................
Basi burdani.
Kumbe!Hahaha ni kichaga hicho sana sana cha marangu hadi kirua vunjo.
Yeah.. Huko kwingine kidogo unakuta maneno ya slight variation ila maana zinakua hiyo hiyoKumbe!
Nitakutafut unifundishe hiyo lugha maana nina mpango wa kuhamia huko siku si nyingiYeah.. Huko kwingine kidogo unakuta maneno ya slight variation ila maana zinakua hiyo hiyo
Hahaha sawa nitakufundisha na Kimasai na Kimeru kama bonusNitakutafut unifundishe hiyo lugha maana nina mpango wa kuhamia huko siku si nyingi
I miss u babeAsanteni sana kwa kunijuza maana ya hilo jina kwani mhusika alitaka kunipiga mzinga ili aniambie maana yake.
(Hivi hiyo lugha ni kishumundu eeeh)
Umeonaeee...Mtu kujiita Behaviourist halafu unakuwa chenga...inachekesha
Endelea kupambanana hali yako, mimi niko mujini nakula bata. Si umesikia kuwa kazi na bata ndio habari ya mujini?I miss u babe
Niko huku porini napambna nakutafutia maisha
Ndio nimeskia. Nitarudi soon maana wewe ndio bata wanguEndelea kupambanana hali yako, mimi niko mujini nakula bata. Si umesikia kuwa kazi na bata ndio habari ya mujini?
Hawa wawili huwa najiuliza maswali lukuki nikiwaona, nahisi haya majina yanawakumbusha kitu fulani katika maisha yao
Ndio nimeskia. Nitarudi soon maana wewe ndio bata wangu
Hhhh nini sasa, hutaki au
Hahaa my son drink water nadhani amechukua ile ishu ya ShigongoHawa wawili huwa najiuliza maswali lukuki nikiwaona, nahisi haya majina yanawakumbusha kitu fulani katika maisha yao
Nitumie 50,000/= ya vocha ndio nitakujibuHhhh nini sasa, hutaki au