Taja majina ya kuchekesha au kufurahisha humu JF


chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
7,686
Likes
13,863
Points
280
Age
25
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
7,686 13,863 280
Asanteni sana kwa kunijuza maana ya hilo jina kwani mhusika alitaka kunipiga mzinga ili aniambie maana yake.

(Hivi hiyo lugha ni kishumundu eeeh)
Hahaha ni kichaga hicho sana sana cha marangu hadi kirua vunjo.
 
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
6,326
Likes
2,006
Points
280
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
6,326 2,006 280
Kwa ufupi kuna baadhi ya majina nikisoma huwa nacheka sana nikiwa natafakari huyo mtu mwenye hilo jina alikua anawaza nini wakati wa kujisajili humu JF. Majina ya kufurahisha ni kama yafuatayo, kwa uchache:

1. Mchecheto;
2. Miss Natafuta;
3. Kipara kipya;
4. Mkwepa kodi
5......................

Basi burdani.
5. Chagga Barbie (Msukule)
6. Mange Kimambi
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
7,686
Likes
13,863
Points
280
Age
25
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
7,686 13,863 280
Nitakutafut unifundishe hiyo lugha maana nina mpango wa kuhamia huko siku si nyingi
Hahaha sawa nitakufundisha na Kimasai na Kimeru kama bonus
 
Thad

Thad

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2017
Messages
11,137
Likes
24,708
Points
280
Thad

Thad

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2017
11,137 24,708 280
Ewaaa nitafurahi sana, maana kuna mmasai wangu humu hajui kiswahili sasa huwa nashindwa kuchat nae vizuri
 
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Messages
8,161
Likes
14,330
Points
280
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2017
8,161 14,330 280
Asanteni sana kwa kunijuza maana ya hilo jina kwani mhusika alitaka kunipiga mzinga ili aniambie maana yake.

(Hivi hiyo lugha ni kishumundu eeeh)
I miss u babe
Niko huku porini napambna nakutafutia maisha
 
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Messages
12,142
Likes
15,836
Points
280
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2013
12,142 15,836 280
miminimkulimaakachekasana
 
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Messages
12,142
Likes
15,836
Points
280
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2013
12,142 15,836 280
Rohombaya
Msaga sumu
 
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Messages
8,161
Likes
14,330
Points
280
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2017
8,161 14,330 280
Endelea kupambanana hali yako, mimi niko mujini nakula bata. Si umesikia kuwa kazi na bata ndio habari ya mujini?
Ndio nimeskia. Nitarudi soon maana wewe ndio bata wangu
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
24,305
Likes
12,586
Points
280
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
24,305 12,586 280
Hawa wawili huwa najiuliza maswali lukuki nikiwaona, nahisi haya majina yanawakumbusha kitu fulani katika maisha yao
Hahaa my son drink water nadhani amechukua ile ishu ya Shigongo
 

Forum statistics

Threads 1,237,178
Members 475,465
Posts 29,280,425