Hata humu JF kuna majini aisee!!

mpenda arage

JF-Expert Member
Nov 10, 2015
1,440
2,000
Wasalaam wakuu, hili jambo nimelifanyia uchunguzi wa kina na kwa muda mrefu sana. Na leo nimekuja na hitimisho kuwa ni kweli humu Jf kuna majini. Na ntaziweka ID zao punde. Kama mbwaimbwai tu! Tusitishane aisee!! Yaani kuna mtu uki ukimquot tu, hulali!
Baada ya kujiridhisha ifuatayo ndiyo orodha ya majini hatari yaliyomo Jf. Kabla ya kuyataja, nianze na maombi kwanza! " Baba muumba mbingu niwekee mkono wako Baba! Nizunguushie ulinzi wako Baba. Haya majini yote nitakayoyataja yashindwe kabisa, na uyaangamize yatakaponisogelea!" Najikabidhi mikononi mwako Baba!# Amina.
Majina yenyewe ni kama yafuatayo:-
Joseverest
Bujibuji
Lizaboni
Mshana Jr
Galapagosi
Shedede
Cute b
Ukhuty
Vamp
Mapupu
Azarel
Jiwe angavu
Jovitha
HR 666
Numbisa
Mahondaw
Mondray
Chikira Mtabari
Jike la Simba
Evelyn Salt
Miss Natafuta
Nyagei
Kyte
[HASHTAG]#nimeanza[/HASHTAG] na Mungu namaliza na Mungu, mtu anisogelee aone! watu hata hatulali!! Ntamquot mtu leo, alaf aje anisumbue! Atajirestisha in chaos, shaur ake!!
fe2b804d6d36914da71c1bd8f186567c.jpg
 
24hrs

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
2,594
2,000
ahaaa basi huo uchawi wa hali ya juu sna kwa kweli maana duu m2 akujuh wew humjuh ata uki quote dad nimechoka ila mpunguze uchawi wa bongo wakenya wakija soma hii k2 mazee sio powa
 
mzado

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
936
1,000
Wasalaam wakuu, hili jambo nimelifanyia uchunguzi wa kina na kwa muda mrefu sana. Na leo nimekuja na hitimisho kuwa ni kweli humu Jf kuna majini. Na ntaziweka ID zao punde. Kama mbwaimbwai tu! Tusitishane aisee!! Yaani kuna mtu uki ukimquot tu, hulali!
Kama ni kweli basi naamini kuna majini yatakua yana comment pumbasana
 
Mwanyasi

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
7,918
2,000
Wasalaam wakuu, hili jambo nimelifanyia uchunguzi wa kina na kwa muda mrefu sana. Na leo nimekuja na hitimisho kuwa ni kweli humu Jf kuna majini. Na ntaziweka ID zao punde. Kama mbwaimbwai tu! Tusitishane aisee!! Yaani kuna mtu uki ukimquot tu, hulali!
Acha kuleta vituko vya Gwajima humu..... kwahiyo umekesha?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom