HahahaaaMkuu vyote hivyo unavyo??
KICHWAMie naanza Kisigino.....
Musundi, hivi huyu ndugu kauliza viungo au kiungo? Nisamehe kama sikuelewa….....Kisogo
Kiuno
Kiwiko
Kidole
Musundi, hivi huyu ndugu kauliza viungo au kiungo? Nisamehe kama sikuelewa….....
Wewe ni mtaalamu!!! Mimi nilipo hapa nashindwa kumshauri mwajiri kumtoa mwalimu wa nchi jirani kufundisha watoto Kiswahili anasema sisi Kiswahili chetu kina maswali mengi. Sasa hili mimi nilikuwa sikuliona pia. Maana muulizaji hakuweka bayana kama ni kiungo cha mwili au cha mboga.KITUNGUU
Wewe ni mtaalamu!!! Mimi nilipo hapa nashindwa kumshauri mwajiri kumtoa mwalimu wa nchi jirani kufundisha watoto Kiswahili anasema sisi Kiswahili chetu kina maswali mengi. Sasa hili mimi nilikuwa sikuliona pia. Maana muulizaji hakuweka bayana kama ni kiungo cha mwili au cha mboga.