Ila wewe mdada duh!Wanaume hawanyi.
Pole umefanya utafiti?Ukimwombea mgonjwa anapona
Huu ujinga asilimia kubwa sana wanaamini
Bhangi ni MBAYA1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua
2. sukari ndio inasababisha kisukari,
Kwa hiyo hayo uliyoandika siyo kweli?1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua
2. sukari ndio inasababisha kisukari,
Eti ccm wameshinda kwa kishindoUchaguzi mkuu 2020 Upinzani wameibiwa Kura
Hallow naona unakoelekea siko, unataka matatizo wewe, sio bure. Mbona mtume wenu yule mwarabu sisi hatujamsema? Heshimu Imani za watu.Yesu ni mungu...lakini inajulikana wazi yesu yeye si mungu..wala mwana wa mungu..
... 🙄🙄🙄... hili ni tusi Sasa.Wanaume hawanyi.
JUA kutoa mashariki na kuzama magharibi1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua
2. sukari ndio inasababisha kisukari,
Dada wa Kisambaa ametisha sanaIla wewe mdada duh!