Ha ha ha haaah Babaubaya umenikumbusha kijiji kimoja huku kwetu alienda mchungaji kuhubiri injili, gari yake ilikuwa imechorwa msalaba kwa rangi nyekundu, alijikuta yuko peke yake wenyeji wamekimbilia mashambani.
Maviatu yenye soli kubwa kama inchi 3-5...!
umesahau na vle viatu vya chakacha,na raba za solo,unavaa ukienda church 2!ukirudi utamsikia maza vua haraka viatu na hzo nguo za kwendea kanisa!duh jaman maisha yanabdilika kweli!
Maeneo ya vijijini ukiona gari jekundu ni wanyonya damu!
Ilinitokea live nilipokwenda kumsalimia babu, hiyo siku tulikwenda kusanya kuni habla hatujaingia porini gari lenye rangi nyekundu likawa linakuja kwa mbele yetu, wale ndugu zangu walikimbia wote porini huku wakiambia kwa kilugha "bee mkwamisi kimbile avanyonya damu ivo vakusa na mtuka si wiona ilangi dung'u iyoo!"
Maviatu yenye soli kubwa kama inchi 3-5...!
unapajua "zaire" weye...!!??teh teh teh
...hehehe...umenikumbusha "saa sita utanikoma"...vile viatu flani hivi vilikuwa vya plastic....ikifika mida ya mchana jua kali unabeba mkononi mwenyewe...!!!umesahau na vle viatu vya chakacha,na raba za solo,unavaa ukienda church 2!ukirudi utamsikia maza vua haraka viatu na hzo nguo za kwendea kanisa!duh jaman maisha yanabdilika kweli!
Mabasi ya UDA (Usafiri Dar es Salaam). Mabasi aina ya Leyland Albion.
Jeans za wakati huo zikiitwa Lee.
Kulikuwa na Lee West halafu Lee Major.
Viatu vya platform lazima viwe vyekundu au brown.
Halafu ukiwa nazo lazima uvae saa.
Jeans za wakati huo zikiitwa Lee.
Kulikuwa na Lee West halafu Lee Major.
Viatu vya platform lazima viwe vyekundu au brown.
Halafu ukiwa nazo lazima uvae saa.
Ukiwa tajiri ama ni chinjachinja a.k.a mnyonya damu au mchawi. Siku hz kikuchanganyia nasikia unaitwa freemason.Tena mnyonya damu huyo alikuwa ni mwanamke akiitwa Msekwa