jamaikatz
JF-Expert Member
- Jul 11, 2023
- 369
- 1,252
Mohamed Hussein Zimbwe Junior anatembea na Mkataba wa Yanga!!
Zinazoonekana Mtandao siyo Romans bali ni Ukweli,
Wakala wa Mohamed Hussein alikutana Na Uongozi wa Yanga Palm Hotel akapewa mkataba,Siku ambayo wakala wake alifata mkataba Walienda na Mchezaji hadi Hotelini akamuacha kwenye gari then Wakala akafata mkataba.
Mohamed Hussein anatembea na Mkataba wa Yanga bado hajasaini hadi Sasan,Mkataba Wenye thamani ya Tsh Million 500 alipewa.
Mohamed Hussein hadi Sasa hajasaini mkataba wa Yanga bado anasubiri Offer za Simba kama Ataridhika asaini..
Mohamed ameweka mapenzi kwa Simba,Miezi miwili anatembea na Mkataba wa Yanga Wenye thamani ya Tsh Million 500, , Mohamed Hussein Siyo Jonas Mkude au Chama.
Kwake Simba ipo Moyoni Respect kwa Captain Huyu,I know to This stori kitambo Sana ila Leo nimewaletea.
Muhimu Simba wampe Pesa Nzuri ili aweze Kusaini pia itakuwa respect kwa wazawa kupewa thamani kama wanayopewa Wageni..