Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Huyu mwenye uzi inabidi atumilikishe kabisa huu uzi
D26741EE-0C54-490D-BDEF-250FD94047E2.jpeg
 
aiiiiii...na ile niliyokuita ukaiona..au umesahau tena..

Ila naomba utambue hata nisingekutaja popote bado ungebaki kuwa na nafasi kubwa kuwazidi wote.Sema Amen mtumishi wa Bwana 😅
Hahahaha, Rafiki usikute simu umempa MTU, maana rekodi inaonesha avatar uliyochagua ni ya muigizaji wa kiume, sio hii yangu ya mjeda presidaa
 
Back
Top Bottom