Taikuni

mkale

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
1,784
Reaction score
2,093
nini maana ya ili neno TAIKUNI ,nimelisikia jana likitumika kwenye kipindi cha BBC Swahili.
 
Tycoon?
Wanaweza wakawa wamelitohoa hapo
 
Tycoon?
Wanaweza wakawa wamelitohoa hapo

asante mkuu ,nimejaribu kuangalia maana yake TYCOON ,naona inaendana na namna lilivyotumika TAIKUNI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…