SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,757
Taifa Stars wanastahili Tuzo maalum ya Amani huko Morocco
Wale wasiopenda haki wanasema Refa alikua anailinda amani ya uwanja mzima.. kwa hio hakukua na haja ya kufunika tuta maana tuta halipigiwi honi na hilo ni jibu jingine lwa WU A UTulichezewa rafu mara nyingi, lakini refa alikuwa akipeta tu. Dakika za mwisho kabisa, Nado alisukumwa waziwazi ndani ya boksi la penalti, lakini refa alipuuza tukio hilo kana kwamba tayari kulikuwa na maelekezo—lazima wenyeji washinde.
Ingekuwa bonge Moja la Vita sidhani kama mechi ingeisha salamaile ya jana Mmorocco angemfanyia Mualgeria pangewaka vibaya Sana.
Imeisha hiyo na maisha yanaendelea.Wale wasiopenda haki wanasema Refa alikua anailinda amani ya uwanja mzima.. kwa hio hakukua na haja ya kufunika tuta maana tuta halipigiwi honi na hilo ni jibu jingine lwa WU A U
Wapewe ya tuzo ya hakiTaifa Stars wanastahili Tuzo maalum ya Amani huko Morocco
Mwarabu yoyote yule angenyongwa vile pale pangewaka moto.ile ya jana Mmorocco angemfanyia Mualgeria pangewaka vibaya Sana.