Taifa stars vs zimbabwe

Taifa stars vs zimbabwe

well done tz toka kichapo hadi droo kesho kutwa tutashinda..

kweli tuwe tunajipa moyo hivyo hivyo ....mimi sasa hivi nimehamia EGYPT VS GHANA naona waarabu wamepania vibaya mno dk ya 4 bilabila.!
 
well done tz toka kichapo hadi droo kesho kutwa tutashinda..

Tusiwapongeze bhana!! Hapo ndio watajibwetesha mkuu....wamecheza nyumbani wana-droo tunawapongeza?? Hapana wanapaswa kupewa adhabu tena wapelekwe kwenye kambi ya kijeshi wapewe msoto wa wiki mbili wakimaliza wakapangiwa mechi ingine wakifika uwanjani wataua mtu.

Hayo ni maoni yangu ingawa wadau mnaweza kudhani ni ya ukatili ila ni ukweli mtupu.
 
Kweli kabisa hii timu inakera sana, nadhani hilo wazo la kuwapeleka kambi ya jeshi wakafanyie kazi huko ni nzuri,,,,,,
 
Back
Top Bottom