Taifa stars vs zimbabwe

Taifa stars vs zimbabwe

Hawa zimbabwe wamejaza mamluki au mbona nasikia kuna mchezaji anaitwa kapinga ?
 
Halftime 0-0.Taifa stars wamepoteza Nafasi Nyingi tu. Samata, Ngassa, Kazimoto, Kapombe wamecheza vzur mpaka kpnd hk
 
Sijaona mchezaji wa Aden Rage hapo hivyo nawatakia ushindi Zimbabwe.
 
Back
Top Bottom