Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,047
- 13,494
Mechi inaanza saa 11. Nh chanel gani itaonesha?
Sasa hyo tbc2 inapatkana wapi mbona sijawahi kuiona?
Huna king'amuzi cha star times?
Timu ndio zinaingia Uwanjani...
Taifa Stars wamevaa uzi wa siku zote ule wa Bluu na kapoka nyeusi...
Zimbabwe wamevaa kitani safi nyeupe kama ndege yangayanga...
Wimbo wa Taifa wa Zimbabwe unapigwa na sasa umemalizika...
Unafuta wimbo wa Tanzania na unaendela...
kipa ivo mapunda, erasto nyoni, kapombe, yondani, aggrey morris, domayo,kazimoto, dilunga,ulimwengu, samata, ngasa,
Mbona hauja ulizia mchezaji wa Ashant?dah. first 11 bila mchezaji wa simba..! anyway chungeni viti uwanja wa taifa.
Mbona hauja ulizia mchezaji wa Ashant?
dah. first 11 bila mchezaji wa simba..! anyway chungeni viti uwanja wa taifa.