Taifa stars vs zimbabwe

Taifa stars vs zimbabwe

stars wanakosa hapa, alipiga samata ikagonga mwamba wa juu kurudi ikamkuta kiemba akapiga nje
 
baadhi ya mashabiki wanataka kirikou atolewe keshachoka
 
dakika za mwisho Zimbabwe wanatukosakosa



hee goooo ila offside
 
Back
Top Bottom