Taifa stars vs Mozambique.

[h=6]Daaaah
Bado dk za mwamuzi

Dk 90 tayari
Msumbiji 1 - 0 Tanzania
[/h]
 
dk 90 bado 1-0 tunasubiri lala salama labda tutabahatisha.
 
Hv kumbe na kwenye mpira kuna kubahatisha mkuu!!!!;4069413]dk 90 bado 1-0 tunasubiri lala salama labda tutabahatisha.[/QUOTE]
 
Tunacheza mpira kwenye magazeti . Watu walidhani tatizo kocha kumbe mfumo mzima,

Kweli kabisa. Mfumo mzima wa michezo hauna tija na hautaleta tija kama tutauwacha ulivyo hata kwa miaka 100 ijayo.
 
inauma sana natamani kuanza mazoezi ya mpira lakini umri umeenda anyway nampeleka mtoto wangu football academic huenda akasaidia siku za usoni, HIYO NDO DAWA PEKEE KWA WATANGANYIKA OH!! SORRY WATANZANIA.
 
msumbiji mbona wanatuonea sana kiasi hiki? Nime BET ziro kwahiyo navua uzalendo. Sibet tena kw taifa stars kama wataendelea hivi.
 
Dk za nyongeza tumerudisha 1-1 Tuone matuta sasa..
 
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOAAAAAAAAAAAAAAAAL

Msumbiji 1 - 1 Tanzania
Dk 93
 
Unachukua wachezaji wote toka litimu lilipigwa 12 unategemea nini,. Tuache fitna tz soccer litasonga mbele,. Kibabu kipo golini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…