Taifa stars vs Mozambique.

Fuatilia live updates kupitia bbcnews.com/africanfootball
 
Hakuna hata TV moja inaoyesha hii mechi online wala TVM1 an TVM2 wala TBC wala nani anaonyesha inaelekea jamaa wameamua kubania ili wafanye fitna ikibidi.

Haahaaa ondoa mawazo hayo mkuu, hii ni michuano inayoratibiwa na CAF, hivyo Musumbiji hawana uwezo wa kuzuia vyombo vya habari vinavyoshirikiana na CAF kufuatilia michuano hiyo, African Soccer tv wapo, Super Sports wapo, Tv Africa wapo, Clouds Tv wapo, TBCccm wapo

Labda ungeuliza kwanini hawarushi live? Hapo ungeeleweka mkuu!
 
[SIZE=-1] 53'[/SIZE]Mozambique [1 - 0] Tanzania10'[1 - 0]
Sitoe [TABLE="width: 400"]
[TR="class: cr, bgcolor: #333333"]
[TD="width: 145, align: right"][/TD]
[TD="width: 250, align: right"]Copyright © 1998-2012 LiveScore Ltd.[/TD]
[TD="width: 5"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Msiwe na wasi. Mpira dakika 90. Tunashinda game.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…