Taifa Stars vs Benin, 12 Oktoba 2014

Taifa Stars vs Benin, 12 Oktoba 2014

Wakuu mliopo uwanjani hivi stars wanacheza vizuri au tumekutana na wachovu??
 
Ya kweli haya..!!! unajua ng'ombe wa masikini hazai..., bila shaka wamekuja na Ebola hawa...
 
Hv hii tabia ya kupoteza muda kwa timu zetu itaisha lini hata michezo km ya kirafiki(rejea kipa wa taifa stars leo dk za lala salama)
 
Vichwa vya habar katika habar za michezo katika magazeti ya kesho; STARZ YAIKUNG'UTA 4-1 TAIFA, STARZ NOMA WAICHAPA BENIN TAIFA...
 
Back
Top Bottom