naona jamaa wamepiga kitu tena naona huenda leo zamu yetu...Ila kweli unaweza kukuta jamaa wanachomoa tunabaki kung'aa sharubu
Hawa tumewaokota kweli kweli magezeti kesho lazima wapate ulajinadhani hawa leo wetu...
hiyo ilikuwa njema na ni ujumbe baaa'b kubwandio maana yake kaka.
labda ujerumani ya kimbiji...hii starz ni balaa hata wakicheza na ujerumani wanashinda
itabidiii tutengeneze kombee letu la kushindana na hawaKilaiiini kama una Nawa vile.!