hao kwenye blue hawajacheza...imeahirishwa!!Viongoz wa dini matokeo vp?nyani ngapi ngapi nani kapigwa muislamu au mkristo tupe update haraka.
Hata mimi nashangaa sana, kwann tukicheza game za mashindano huwa tunakuwa mdobwedo?Tatizo huwa tunashinda mech ambazo hazina umuhimu zaidi ya kupanda nafasi moja au mbili juu
Hata mimi nashangaa sana, kwann tukicheza game za mashindano huwa tunakuwa mdobwedo?
Shida sijui iko wapi maana wachezaji ni wale waleHata mimi nashangaa sana, kwann tukicheza game za mashindano huwa tunakuwa mdobwedo?
Daudi1 kwani hii ndo tumeshashinda...starts sometimes ni kama mgonjwa anakupa matumaini kabla ya kukata kauli...jamaa wanaweza kuchomoa na kuongeza vilevile...Tatizo huwa tunashinda mech ambazo hazina umuhimu zaidi ya kupanda nafasi moja au mbili juu
unamaanisha walichanganyikana bila kujari tofauti ya dini zao!mkristo namba 2 muislam namba3?!Kulikuwa na timu mbili AMANI na USHIRIKIANO zikiwa na wachezaji wa dini zote mbili. Timu ya amani ilishinda goli 1.