Taifa Stars vs Benin, 12 Oktoba 2014

Taifa Stars vs Benin, 12 Oktoba 2014

Mpira unaanza sasa, Mwadini Ally langoni.
 
Pyeeeeeeeeeeeeeee! game linaanza kwa watanzania kusukuma mpira kwenda upande wa Benin.
 
Kona ya kwanza kwa stars. Wameanza kwa kasi.
 
Noorj kaiongoza stars katika mechi 9, kashinda 2, sare 3 na kufungwa 3....
 
Ulimwengu anakosa goli la wazi kabisa hapa dakika ya 5....
 
Amri Kiemba,,,,,,,,,,kajaribu.
 
Wanaanza kutushambulia lakini inaokolewa.
 
Dakika ya 10 hakuna timu iliyoona lango la mwenzake.
 
Back
Top Bottom