Taifa Stars Kuirarua Harambee Stars Nyumbani

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
Kuna kitu cha kujivunia linapokuja suala la Penalty.
Goli kipa wa Tanzania anaaminika sana Penalty.

Poleni sana
 
Tanzania 4 Kenya 1
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imesonga mbele baada ya kuitoa Harambee Stars kwa penalti 4-1 katika mchezo wa marudiano kusaka nafasi ya kufuzu Chan, uwanjani Moi Kasarani #MwananchiUpdates
 
Kuna kitu cha kujivunia linapokuja suala la Penalty.
Goli kipa wa Tanzania anaaminika sana Penalty.

Poleni sana
I knew where TZ will corner them, and later have fixed them.

Poleni Sana Wakenya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom