Mlioichangia Taifa stars

Mojawapo ya vitu nilishakataa kufanya ni kushabikia taifa stars ni hatari kama kushabikia vyama vya siasa.
 
Hiyo ujinga sifikirii na sitegemei kama itakujatokea nikafanya huo ufakni

ccm ni chanzo cha uzalendo kutoweka kwa raia wa Tanzania acha bongo zozo ajitolee tu na ni vile wamegundua hajajikita kwenye siasa la sivyo haaa
 
Nchi zenye u serous kwa mchezo wa Tanzania na Zambia wachezaji wote na makocha hadi wanyoosha misuli wangewekwa gerezani.

Wanachezea kodi zetu.
 
Back
Top Bottom