Taifa stars inaweza chukua AFCON 2019

Brother hauko serious,timu ina wachezaji wa Mancity, Porto, Galatasalay, Fenberce ni vilabu vya kawaida? Stars hata wakifunga goli moja ni mafanikio makubwa
Mindaset yako kama wanayo wachezaji basi sisi huko ni mboga.. ila wakiacha kufikiria huu ujinga wataitambua Tanzania
 
Naomba msinipige mawe kabla sijaeleza.

1. Nimeangalia timu zote sijaona timu ambayo ina mastars wengi kama miaka ya nyuma au timu ambayo haifungiki. Timu nyingi zina wachezaji toka timu za kawaida sana labda na star mmoja.

Mfano Nigeria ina Iwobi pekee yake ambaye yupo kwenye timu bora. Wengine ni timu ambazo naweza sema za kawaida.

2. Wakibadili mindset na kuona wao wana haki ya kuchukua kombe na wakakomaa inawezekana.. ninapo sema kukomaa yaani ile mkifungwa mnatoa hadi machozi kama brazil ilivyo fungwa na germany . Sasa utakuta timu imefungwa michezaji inacheka au inapongezana .

3. Wakicheza kama timu na kuacha show off .. watapiga senegal na kenya mabao mengi sana. Ila wasipo cheza kama timu taifa star ni mboga ya kila mtu.

4. Wakiacha ushamba na uzembe watafanya vizuri.

5. Waache kulaumiana.

Ni zamu yetu kubeba kombe.
Future impossible tense
 
Kama marefa ni wabongo na hayo mashindano yanasimamiwa na TFF chini ya Wallace Karia nakubaliana na wewe💯
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom