Timu ya taifa 'Taifa Stars', Alhamisi jioni imeondoka nchini kuelekea nchini Morocco ,kwa ajili ya mchezo wao utakaofanyika jumapili kukamilisha mchezo wa mwisho wa kundi D kwa kunyukana na timu ya Morocco,katika mji wa Marrakech nchini humo,katika kuhakikisha timu hiyo inafuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika, mwakani (CAN 2012).
SISI KAMA WATANZANIA TUNAWATAKIA KILA LA HERI. PONGEZI NYINGI KWA SBL KWA UDHAMINBI WAO.
TAARIFA HII NIMEIPATA HAPA << STARS WAELEKEA MOROCCO>>