Taifa stars imeondoka kuelekea morocco kwa ajili ya mchezo wao wa jumapili

Status
Not open for further replies.

jozzb

Member
Jun 30, 2011
87
20Timu ya taifa 'Taifa Stars', Alhamisi jioni imeondoka nchini kuelekea nchini Morocco ,kwa ajili ya mchezo wao utakaofanyika jumapili kukamilisha mchezo wa mwisho wa kundi D kwa kunyukana na timu ya Morocco,katika mji wa Marrakech nchini humo,katika kuhakikisha timu hiyo inafuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika, mwakani (CAN 2012).

SISI KAMA WATANZANIA TUNAWATAKIA KILA LA HERI. PONGEZI NYINGI KWA SBL KWA UDHAMINBI WAO.

TAARIFA HII NIMEIPATA HAPA << STARS WAELEKEA MOROCCO>>
 

Attachments

  • 3.jpg
    3.jpg
    89.2 KB · Views: 26

Lonestriker

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
640
240
Am hoping for a Miracle for once.Oh, Almighty God be with us against these grandsons of Pharaoh.My expectations are low but my hopes are high...Lord be with us,ushindi wa Taifa Stars unifariji kwa matokeo ya Igunga.Lord I pre-dedicate our win to all those who never believes in Taifa stars(including myself).
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Top Bottom