lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 655
- 1,792
Habari Kwenu wote,..Nani hajastushwa na "Trend" ya Kila Mtu maarufu kuchukua Form ya Kugombea Ubunge??.Ni haki ya Kila Mtu ya kikatiba kuchagua au kuomba ridhaa ya wananchi kuchaguliwa kua Muwakilishi wao..
Lakini Jambo Hilo Lina maana gani?kukua Kwa demokrasia??Muamko wa Vijana??Mimi Nina mtazamo Tofauti..
Tunapoishi katika kipindi ambacho kila mtu hata Maamuma asiye na elimu ya siasa au ya darasani,Maarifa au Uzoefu wowote wa Kuongoza watu au mwenye maono ya kuboresha maisha ya Mwananchi wa kawaida nae anajiona anafaa kuwa rais au mbunge,hiyo inatoa tafsiri kua taifa lina tatizo kubwa la kiutawala..
Mambo wanayofanya Wabunge(Uchawa)Kusifia wakubwa,Kutowasilisha hoja za Maana zenye maslahi Kwa taifa(Wabunge mizigo)... Inafanya Kila Mtu afikirie kua Bungeni kama kijiweni tu Hakuna la maana,unaenda unapiga soga Kwa miaka mitano, Posho inaingia, Mshaara mkubwa Hakuna wa kukudai chochote,huna pa kuwajibika..kwanini Doto magari asifikirie Ubunge?Wabunge 80% Wana maajabu gani kumtofautisha na yeye??wote machawa+Comedy tu..
Mitandao ya Kijamii inawapa watu umaarufu,Kila Mtu anaejulikana Instagram anafikiri Anaweza kua KIONGOZI, intellectuals wako wapi?? Kwanini Taifa linahusudu watu wa mitandaoni Kuzidi wasomi na wataalamu???
Je kweli mustakabali wa Tanzania unaenda kuamuliwa na Mamodo,Mabishoo,machawa,radio presenters??
Bila Reforms za Sheria za uchaguzi wajinga watakua wengi Bungeni sababu Kila mkubwa wa CCM atataka Hawara yake,shemeji,mshikaji,classmate waingie Bungeni..
Hadi hapa tulipofikia Bunge sio Chombo Cha kusimamia Serikali Wala kutunga Sheria,Bunge ni sehemu ya wajanja wenye Connection kwenda kupiga Hela...
Bunge letu Hadi Sasa lishakosa HESHIMA
future Yetu ni entertainers na TikTok influencers kua viongozi,Real thinkers Kapuni.
Opportunists na mafisi wote watataka ulaji..
Wanaotaka Kuongoza,wamejiandaa au wameandaliwa Kuongoza???
Nimekumbuka kitabu kinaitwa The Crowd: A Study of the Popular Mind by Gustave Le Bon