Taifa linavuliwa nguo

Asanteni watu wote wanaojitambua, viongozi wote wa Tanzania hawajitambui.
 
Hii nchi Ina chekesha sana siku nilivyo kuwa natizama alivyo kuwa ana apishwa tbc wakaandika kuwa wanapatikana mitandaoni kama Twitter and the likes nikajiuliza Sasa Hawa Wana Akili kweli boss wao siemefunga mitandao wanavyo sema kwamba watu wafuatilie page zao za mitandaoni Twitter ikiwa Moja ya hiyo mitandao wanataka wananchi watumie nini kupata access ya hiyo mitandao actually siwalisema kutumia VPN ni kinyume Cha sheria !!!!
 
Kwani bado mnauamini uwezo wa hii nchi?, wakenya tu hapa waliijambisha nchi nzima kwa kudaka Social network/media accounts karibia kila institutes na makampuni nchini na baadhi ya idara ambazo tulidhani hazifikiki.

Ni aibu na haya ndio matokeo ya kuendeleza ukoloni wa CCM kukazania ubishi wa elimu iliyopitwa na wakati, kutotaka ushauri wala opinions kutoka Kwa watu wenye exposures kimataifa, ndio haya sasa, hivi mnadhani hii serikali tangu ijiapishe kuna siku itapata amani?, hakuna hilo, kuna maelfu ya vijana ambao wana uwezo mkubwa ambao hapo kabla hawakuuonesha either kwa hujuma za wanasiasa na Serikali yao, au kuwapuuza au kutowapa nafasi na kuwazingatia wajinga, ndipo sasa tutaona ambayo hatukuwai kuyaona wala kuyawaza.

Kuna kundi jipya la vijana wenye uelewa+maarifa makubwa ambayo kama watayatumia hata 50% tutegemee vilio vingi sana kwa viongozi+wanufaika wa hii nchi.

Sio hao tu wa huko mitandaoni, hata maofisini wapo watu wa aina hiyo na ndio hawa hawa wanavujisha information za hii nchi bila kujulikana.

SAMIA SULUHU HASSAN kaiharibu hii nchi.
 
Tulishasema kwamba muda umeshakwisha.......

We're at the point of no return
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…