Yapo matatizo,kwa mfano,Ustawi wa Jamii,ambapo kuna migogoro ndani ya familia.
Halafu sikuafki Rais juzi alivyounda Tume kudurusu Justice System. It seemed to me a bit superflous.
Yaani, haiwezekani kuunda Tume Huru klia siku, kila mara mahabusu anapokufa mikononi mwa Polisi .